Tuweke mambo wazi.
Hivi sasa dunia imechafuka. Kitu kinachoitwa "Ngono" kimekuwa kama burudani fulani ya kawaida kama vile kucheza mpira, kuangalia sinema, kunywa bia, kuogelea, nk. Ile heshima ya tendo la kujamiiana kwa kusudi lililokusudiwa(kupata familia) halipo tena.
Mfano kwenye mikesha, hasa miezi ya December na January. Wengi wako likizo. Kukiwa na mkesha fulani, basi kisingizio tayari. Wote mnakutana nyumbani asubuhi. Baba, mama, watoto.
Kisingizio: "Mkesha"
Ndoa, kama wanavyosema wenyewe: "Ni kuondoa mikosi na vilevile kuweka heshima katika jamii kwamba umewahi kuoa/kuolewa katika maisha yako.
Hivyo ukioa kwa kupenda kwa dhati hasa binti mrembo mwenye shepu inayovutia, kwa uhakika tegemea mambo mawili:
1.) Kuuwa (mke/aliyefumaniwa, au wote wawili.
2.) Kujiuwa