Kuchinjwa kwa binti wa mchungaji Mtungutu

Shepu inayovutia? Kwahiyo tuoe wasio na shepu, okay.
 
Madem wa kirangi easy sana...
Ukioa huyo kubali yote
 
Umesahau maelezo mengine mkuu ya muhimu sana........
- Mleta uzi ana gari na alikuwa anasafiri na usafiri binafsi

- Mleta uzi aliendesha gari kwa spidi kubwa(alikamua mashine)

- Mleta uzi alimjengea marehemu babu yake nyumba

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndiyo maana mabinti wa kiafrika most of them wanatamani waolewe na white people hususani waarabu, jamii ya waarabu wana imani sana though siyo wote
 
Umesahau maelezo mengine mkuu ya muhimu sana........
- Mleta uzi ana gari na alikuwa anasafiri na usafiri binafsi

- Mleta uzi aliendesha gari kwa spidi kubwa(alikamua mashine)

- Mleta uzi alimjengea marehemu babu yake nyumba
Hahah!sawa mkuu..hapa ndo nmepaelewa ..huko kweny story ya mtot wa mchngaji sijaelewa chochote
 
Umesahau maelezo mengine mkuu ya muhimu sana........
- Mleta uzi ana gari na alikuwa anasafiri na usafiri binafsi

- Mleta uzi aliendesha gari kwa spidi kubwa(alikamua mashine)

- Mleta uzi alimjengea marehemu babu yake nyumba
Kubwa zaidi kwenye huu uzi ni utambulisho wa gari, ile ist aliyoikataa Makonda!
Hongera mleta Uzi kwa kutimiza ndoto yako ya 2021 kununua gari ist.
 
Jf mbona mna ng'ong'o sana kwani mtu kumiliki gari ni tatizo? Kwa hiyo kama alienda na gari yake asiseme? Je angesema alikuwa kapanda bus ! Tujielewe gari ni chombo tu wala hakuna mtu anakuja kujitapa hapa kwanza hatujuani atajigamba ili iweje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…