Nakubaliana na Erotica, kuwa mna mchango mkubwa sana katika hii kitu! Kweli mngekuwa attracted na naturale; kina dada wengi wangekuwa hivyo. Lkn kwa vile mnataka mionekano ya Miss ....., basi nasi twatafuta huku mki-foot the bills of course!
Simuulizi kaunga basi nimekuamini.
Kaunga darasa ndio hili kwamba pamoja na wanaume kuvutiwa na "muonekano" lakini wanavutiwa na muonekano ambao uko natural na siyo ule ambao ni artificial, matiti ya kuchonga, wowowo la kubandika, kucha za kubandika, nyusi za kubandika, hips za kubandika wakistukia haya wanasepa na kuingia mitini.
hio shida ndio inanipa shida. Shosti tatizo ni pale ambapo mnaenda kuspendi siku mbili tatu.
Gharama must Preta. awe amekodi gari ama lake yeye ndie inabidi a foot hio bili lasivo siendi.
Wewe kwa miss/modal vigezo l am not; but l the beautifulliest girl in the whole world! Source: my God, mimi mwenyewe, my sonushka, my love, mom n l assume you Eiyer! LOL
Yes,your right.Hujakosea,nimefurahi kusikia kuwa unajua kuwa wewe ni bonge la mzuri duniani!
Thanks Eiyer!
Kama ungekua na mimi ningekutengenezea mazingira ya kukufanya ujiamini na ujione wa thamani jinsi ulivyo.Usingehitaji kujiongezea chochote.Kwa kifupi NINGEKUPENDA!Hivi ndo mwanaume anatakiwa awe!