BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Nakubaliana na Erotica, kuwa mna mchango mkubwa sana katika hii kitu! Kweli mngekuwa attracted na naturale; kina dada wengi wangekuwa hivyo. Lkn kwa vile mnataka mionekano ya Miss ....., basi nasi twatafuta huku mki-foot the bills of course!
Kaunga darasa ndio hili kwamba pamoja na wanaume kuvutiwa na "muonekano" lakini wanavutiwa na muonekano ambao uko natural na siyo ule ambao ni artificial, matiti ya kuchonga, wowowo la kubandika, kucha za kubandika, nyusi za kubandika, hips za kubandika wakistukia haya wanasepa na kuingia mitini.