Kuchojoa wakati wa SEX. Msaada Plz.

Kuchojoa wakati wa SEX. Msaada Plz.

Nakubaliana na Erotica, kuwa mna mchango mkubwa sana katika hii kitu! Kweli mngekuwa attracted na naturale; kina dada wengi wangekuwa hivyo. Lkn kwa vile mnataka mionekano ya Miss ....., basi nasi twatafuta huku mki-foot the bills of course!

Kaunga darasa ndio hili kwamba pamoja na wanaume kuvutiwa na "muonekano" lakini wanavutiwa na muonekano ambao uko natural na siyo ule ambao ni artificial, matiti ya kuchonga, wowowo la kubandika, kucha za kubandika, nyusi za kubandika, hips za kubandika wakistukia haya wanasepa na kuingia mitini.
 
BAK
Tangu msichana najua l am not the prettiest girl in the block. Na nimekuwa na mtazamo kuwa, ambaye anapaswa kunipenda na anipende jinsi nilivyo!

Tena ni nzuri coz, watu wachache wanakuwa attracted to you; na nirahisi kupata penzi la kweli kuliko kutamaniwa tu!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
.......unapojaaliwa fake zote hizo basi jitahidi uwe "wa ukweli" kwenye dakika 45', 90', 120' za mchezo....kwani muda huo mwanaume anafikiria zaidi kutokana na "hisia"...
 
Kaunga darasa ndio hili kwamba pamoja na wanaume kuvutiwa na "muonekano" lakini wanavutiwa na muonekano ambao uko natural na siyo ule ambao ni artificial, matiti ya kuchonga, wowowo la kubandika, kucha za kubandika, nyusi za kubandika, hips za kubandika wakistukia haya wanasepa na kuingia mitini.

Nimeipenda kidogo hii!!
 
Kaunga nani amekuambia your not pretiest bana????
 
Last edited by a moderator:
Kaunga nani amekuambia your not pretiest bana????

Wewe kwa miss/modal vigezo l am not; but l the beautifulliest girl in the whole world! Source: my God, mimi mwenyewe, my sonushka, my love, mom n l assume you Eiyer! LOL
 
Last edited by a moderator:
hio shida ndio inanipa shida. Shosti tatizo ni pale ambapo mnaenda kuspendi siku mbili tatu.
Gharama must Preta. awe amekodi gari ama lake yeye ndie inabidi a foot hio bili lasivo siendi.

acha uone kama atakufa
 
Wewe kwa miss/modal vigezo l am not; but l the beautifulliest girl in the whole world! Source: my God, mimi mwenyewe, my sonushka, my love, mom n l assume you Eiyer! LOL

Yes,your right.Hujakosea,nimefurahi kusikia kuwa unajua kuwa wewe ni bonge la mzuri duniani!
 
Last edited by a moderator:
Kama ungekua na mimi ningekutengenezea mazingira ya kukufanya ujiamini na ujione wa thamani jinsi ulivyo.Usingehitaji kujiongezea chochote.Kwa kifupi NINGEKUPENDA!Hivi ndo mwanaume anatakiwa awe!


Sio kweli, acha kumdanganya mwenzako kwa nyege zako za nzi. Mwanamke mwenye kitambi cha kujitakia hana mvuto. Kitambi cha kujitakia ni kile cha kula kila aina ya chakula na kujiachia tu huku bila kujijali, utakuta demu ana bonge la mtambi utafikiri ana kwashakoo halafu anataka bwana. Hapo tu hajazakuzalia, je akizaa atakuwaje? Mwanadamu sharti kujipenda, kunukia vizuri (ila inabidi uoge sio tu kupaka deodorant na perfume bila kuoga, yaani personal hygiene is too important kwa mwanadamu). Sio unakurupuka tu oh nataka demu ama ohh nataka mume....domo linanuka kama umemeza mavi, kwapa hazisikilizani yaani ili mradi tu. Kwa kweli dada yangu jaribu kujipenda na upunguze hicho kitambi pia zingatia mengine niliyoyataja hapo juu kama bado hujafanya.
 
Mkereketwa tofautisha kati ya usafi na urembo!
Maumbile ya asili na ya kutengeneza

Sasa mtu, hana mahips anavaa ya nguo!
Nywele kiafrica anavaa wigi!
Rangi yake ya kiafrica amekuwa na rangi kama S. Mwilima!
Kope za bandia!

Unaita hivyo vyote usafi????
Ofcourse kama ni tumbo laweza pungua with mazoezi lkn figure haiwezi kama ni 9 hawezi kuwa 6 au 8.

So mtu huyo ambaye kwa vigezo vya 'kisasa vya urembo' unanshaurije?

N.B
Tena hayo martificial kumaintain usafi wake unahitaji kuwa loaded; kuliko kipilipili unaosha kila siku!
 
Unachokitafuta hasa nini? Ili iweje? unafikiria kutumia masaburi amba Lulu?
 
Mkereketwa Huyu,shauri yako na matatizo yako ya kimapokeo.Simpimi mtu kwa kinsi mwili wake ulivyo bali utu wake!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom