MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Kama ungekua na mimi ningekutengenezea mazingira ya kukufanya ujiamini na ujione wa thamani jinsi ulivyo.Usingehitaji kujiongezea chochote.Kwa kifupi NINGEKUPENDA!Hivi ndo mwanaume anatakiwa awe!
Kaunga naomba unitake radhi............unajua katika ukware wangu enzi za ujana wangu pamoja na kupata misukosuko, lakini nilikuwa najua kuchagua vimwana.............Yeye na Mtambuzi lazima watakuwa wamekutana na sampuli hii!
Kaunga naomba unitake radhi unajua katika ukware wangu enzi za ujana wangu pamoja na kupata misukosuko, lakini nilikuwa najua kuchagua vimwana.sasa kama wakiingia uwanjani kisha mrembo akichojoa, halafu akakuta kile kili`chomvuta hakipo....sidhani hata Kilambio kitasimama.....litakuwa ni bonge la dissapoint....
Duh!Swali kwa akina dada wote ambao pia
wanatumia hivi viwezeshaji urembo, inakuaje siku unampango wa kukutana kwa ajili ya sex
na boyfriend wako. lets say weekend nzima? Unachojoa vyote hivo mbele yake?
yani wigi, kucha, hip spandex, kope, n.k pembeni na yeye anaona?
.
Huwezi penda kitu kimoja tu kwa mwanamke!inategemea ulpenda nin.
afadhali umekuwa wazi tu preta, maana baadhi ya wanaume wanaweza ku-act very seriously kwenye avatar tu ya mwanamke (au hata ya yule anayejifanya mwanamke for that matter...)
Sio kweli, acha kumdanganya mwenzako kwa nyege zako za nzi. Mwanamke mwenye kitambi cha kujitakia hana mvuto. Kitambi cha kujitakia ni kile cha kula kila aina ya chakula na kujiachia tu huku bila kujijali, utakuta demu ana bonge la mtambi utafikiri ana kwashakoo halafu anataka bwana. Hapo tu hajazakuzalia, je akizaa atakuwaje? Mwanadamu sharti kujipenda, kunukia vizuri (ila inabidi uoge sio tu kupaka deodorant na perfume bila kuoga, yaani personal hygiene is too important kwa mwanadamu). Sio unakurupuka tu oh nataka demu ama ohh nataka mume....domo linanuka kama umemeza mavi, kwapa hazisikilizani yaani ili mradi tu. Kwa kweli dada yangu jaribu kujipenda na upunguze hicho kitambi pia zingatia mengine niliyoyataja hapo juu kama bado hujafanya.