MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Kama ungekua na mimi ningekutengenezea mazingira ya kukufanya ujiamini na ujione wa thamani jinsi ulivyo.Usingehitaji kujiongezea chochote.Kwa kifupi NINGEKUPENDA!Hivi ndo mwanaume anatakiwa awe!
Eiyer.......................aksante. Kubwa ya yote ni kujiamini.
Unawezatumia yote hayo na bado ukaiweka bayana kuwa si halisi! Mi huwa natoa taarifa....baby nakwenda suka weaving, au bandika kucha (sipendi na wala sina kope; hips sina na sizihusudu)