Kuchojoa wakati wa SEX. Msaada Plz.

Kuchojoa wakati wa SEX. Msaada Plz.

Kama ungekua na mimi ningekutengenezea mazingira ya kukufanya ujiamini na ujione wa thamani jinsi ulivyo.Usingehitaji kujiongezea chochote.Kwa kifupi NINGEKUPENDA!Hivi ndo mwanaume anatakiwa awe!

Eiyer.......................aksante. Kubwa ya yote ni kujiamini.

Unawezatumia yote hayo na bado ukaiweka bayana kuwa si halisi! Mi huwa natoa taarifa....baby nakwenda suka weaving, au bandika kucha (sipendi na wala sina kope; hips sina na sizihusudu)
 
Yeye na Mtambuzi lazima watakuwa wamekutana na sampuli hii!
Kaunga naomba unitake radhi............unajua katika ukware wangu enzi za ujana wangu pamoja na kupata misukosuko, lakini nilikuwa najua kuchagua vimwana.............

Kwa kumsaidia mwenzio, ni kwamba wanaume wengi katika kupenda, huvutwa zaidi na sifa za nje...............sasa kama wakiingia uwanjani kisha mrembo akichojoa, halafu akakuta kile kili`chomvuta hakipo....sidhani hata Kilambio kitasimama...................litakuwa ni bonge la dissapoint............
 
Last edited by a moderator:
Bondia mpiganaji kama mimi ctajali hayo maeffect otherwise **** langu liwepo tu ila sura hata iwe ka ya masoud!
Najilia kakitu vizuriiiiiiiiii.......
 
Kila mwanamke anapenda kuonekana mzuri,lakini uzuri natural ni muhimu zaidi.Sasa ukivua hayo manguo,then anakuta kipaja kidogo,wakati mwenzako aliexpect hipsi za ukweli.Inshort jikubalini.the way ur,though napenda sana figure 8.yenye natural mahipsi.Hayo makitu ni mazuri kwelii.Ndo maana mnayapenda pia,mpaka mmetengenezewa fake.By the way,kama expectation ya huyo aliekupenda ni hayo,lazima stimu itakata,ukianza yatoa.
 
Be natural acheni huu ufeki feki ndio maana mahusiano hayadumu unafikiri mwenzio akijua umeongezea maeneo fulani fulani atahisi kuibiwa lazima asepe.
 
Kaunga naomba unitake radhi unajua katika ukware wangu enzi za ujana wangu pamoja na kupata misukosuko, lakini nilikuwa najua kuchagua vimwana.sasa kama wakiingia uwanjani kisha mrembo akichojoa, halafu akakuta kile kili`chomvuta hakipo....sidhani hata Kilambio kitasimama.....litakuwa ni bonge la dissapoint....

Kumradhi mkuu Mtambuzi lengo langu lilikuwa ni kupata feedback yako! Nashukuru kwa mchango.

Nafikiri tunahitaji kupromote urembo wa asili kwa kuandaa mashindano ya Miss Naturale!
 
Last edited by a moderator:
MwanajamiiOne,ni kweli kujiamini ni jambo kubwa sana,lakini fahamu kuwa kwenye mahusiano kujiamini au kutokujiamini kwa mmoja mara nyingi hutokea namna mwenzako anavyokuchukulia.Ukiwa na mtu akakujengea mazingira ya kukuona wa thamani hata kama una kitambi au miguu kama ufagio.Nitakukubali na kukupenda kwa vitendo na utaona na kujiambia "aah kumbe watu waongo,mbona mpenzi wangu ananipenda",huo utakua mwanzo wa kujiamini na mawiving na karolaiti yataanza kukosa thamani mbele yako!
 
Last edited by a moderator:
me naona ni bora mvulana akupende the way ulivyo coz akikukuta na mavitu kibao atakuzarau2
 
me naonanibora akupende the way ulivyo coz akikukuta na mavitu kibao atakudharau tu na hauta mvutia may be ulimvutia coz unaipsi thn ukifika anakuta sio lazima akudharau
 
me naona ni bora akupende the way ulivyo coz akikukuta na mavitu kibao atakudharau tu na hauta mvutia may be ulimvutia coz unaipsi thn ukifika anakuta sio lazima akudharau
 
Swali kwa akina dada wote ambao pia
wanatumia hivi viwezeshaji urembo, inakuaje siku unampango wa kukutana kwa ajili ya sex
na boyfriend wako. lets say weekend nzima? Unachojoa vyote hivo mbele yake?
yani wigi, kucha, hip spandex, kope, n.k pembeni na yeye anaona?

.
Duh!
Hapo itakuwa ni kamoja ka fasta,
kale kasiko na displine (sjui ham yenyewe itakuwepo?),
the nasepa for good!
 
inategemea ulpenda nin.
Huwezi penda kitu kimoja tu kwa mwanamke!
Mara nyingi ni combinations.
Sasa kama combination iliyomvutia kwako zite ni za kubandika huwezi laumu akikumbia.
 
afadhali umekuwa wazi tu preta, maana baadhi ya wanaume wanaweza ku-act very seriously kwenye avatar tu ya mwanamke (au hata ya yule anayejifanya mwanamke for that matter...)

Na sometimes we enjoy making jokes to the avatars, although we now that most of them are imaginary.
Hata mimi ni mtu tofauti kabsia na avator yangu!
 
.......unapojaaliwa fake zote hizo basi jitahidi uwe "wa ukweli" kwenye dakika 45', 90', 120' za mchezo....kwani muda huo mwanaume anafikiria zaidi kutokana na "hisia"...


Tafanyia kazi Mbu. Sante
 
Last edited by a moderator:
Sio kweli, acha kumdanganya mwenzako kwa nyege zako za nzi. Mwanamke mwenye kitambi cha kujitakia hana mvuto. Kitambi cha kujitakia ni kile cha kula kila aina ya chakula na kujiachia tu huku bila kujijali, utakuta demu ana bonge la mtambi utafikiri ana kwashakoo halafu anataka bwana. Hapo tu hajazakuzalia, je akizaa atakuwaje? Mwanadamu sharti kujipenda, kunukia vizuri (ila inabidi uoge sio tu kupaka deodorant na perfume bila kuoga, yaani personal hygiene is too important kwa mwanadamu). Sio unakurupuka tu oh nataka demu ama ohh nataka mume....domo linanuka kama umemeza mavi, kwapa hazisikilizani yaani ili mradi tu. Kwa kweli dada yangu jaribu kujipenda na upunguze hicho kitambi pia zingatia mengine niliyoyataja hapo juu kama bado hujafanya.

Mkereketwa_Huyu bora umekua mweli, wengine hapa
ni kupeana moyo lakini akikuona njiani anakukwepa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom