Kuchojoa wakati wa SEX. Msaada Plz.


Mbavu zangu utazilipa lawyer!
 
@Krolokwin yaani nimecheka mpaka basi! Imagining u ukitorokea dirishani! Very funny!


Anyway Erotica, here is my tip!
Love urself the way u r and everybody will.
Mimi huwa nawapenda na sometimes nawatamani wadada ambao juu wamejaa na chini hamna kitu; just because of how they love their bodies!

Hata Brenda Fassie nilikuwa natamani niwe kama yeye.

So kufupisha maneno yangu. Jinsi ulivyo uko peke yako Duniani; just love urself!
 
Ha ha haaa... mkuu umenikumbusha mbali
Wapi mkuu? yalikukuta nini? heheeh

Exactly...yaani mtu awe anavua magwanda mimi naangalia tu! Mwisho wake ntafikiria namuona jini mahaba buree

umeona eeh? tena mimi nazani hili suala kutokana na umuhimu wake lingeingizwa kwenye mchakato wa katiba mpya. Wanatuibia sana hawa jinsia ya upinzani
 
Wapi mkuu? yalikukuta nini? heheeh



umeona eeh? tena mimi nazani hili suala kutokana na umuhimu wake lingeingizwa kwenye mchakato wa katiba mpya. Wanatuibia sana hawa jinsia ya upinzani


.....Mhhhhh! haya bana KLQ wengine huwa wanasema hivi, "Mie napenda weye univue taratibuuuuuuuuu...huwa nasikia raha sana."

 

sun wu, this is superb. Sante. Kumbe I can just consider
using viwezesha urembo so that I look hotter. mengine yatajipanga mbele.
 
Last edited by a moderator:
niko poa kabisa natumai nawe umesalimika...mie sina maujuzi katika idara hii ya kuvua kufuli 🙂🙂


mmmh. hapa BAK umeamua tu kunibania. I am mad.:Cry:
 
Reactions: BAK
I am giving you an option to consider...consider yourself in control...try even once....you will never regret

Ndahani you are gettin me all wrong. not that I don't eva b in contol in a relationship.
there are times I am supposed to be in control than him, and I do that and I enjoy it.
It is a matter of balance. Who is to be in control in what situation? how much? But katika public
he to me would always be in control. siwezi nikawa na handle kila kitu yeye kakaa tu hapo
as if he does not know kua the world ina rotate. sijui nikwambie vipi so that you understand.
 
Last edited by a moderator:
mmmh. hapa BAK umeamua tu kunibania. I am mad.:Cry:

...ngoja nipate maujuzi nitakumwagia hapa 🙂 mie bana sipendi chochote kile ambacho ni artificial, naweza nikaruhusu extension ya nywele, lakini kucha na mazagazazaga mengine yoyote yale siyapendelei kabisa.
 
Unajua Erotica hapa watu wanakushauri utambue uzuri wako wa asili. But kila mwenye uzuri wa asili hakosi mapungfu ya asili. Na Mungu katupa akili za kubuni namna ya kupambana na mapungufu yetu kibinadamubunadamu...


Tuache kupena moyo jamani. Kuna watu ni wabaya asilia. Bila hivi viwezesha urembo ni mwanaume.
Inapendeza kapo inapokua pamoja ionekana mwanaume ni yupi na mwanamke ni yupi.
hivo kama viwezesha urembo vinam highlight kua sasa ni mwanamke aache kutumia in the name ya kujitambua?
 
Ngoja niangalie kwanza gemu ya Man city na Man untd,nitarudi!
 
I like pipo who r honest! Kudos!

Kaunga na wewe umeona eeh? Tuko is so honest, napenda michango yake.
kuna moja juzi kagusia ya flexibility, mambo ya wine na makuku, nilibaki mdomo wazi.:shock:
 
Last edited by a moderator:
sun wu, this is superb. Sante. Kumbe I can just consider
using viwezesha urembo so that I look hotter. mengine yatajipanga mbele.
Trust me hakuna kitu kinachosaidia kama confidence.., sasa kama wewe unajiona ni mfupi na hupendi ufupi wako kwanini ukiwa nje usivae viatu virefu (yaani hapo hata kazini utachapa kazi bila shida, ila ukiwa unakishitukia.., hata yale mazuri yako.., mwanya, smile na macho utashindwa kuyaonyesha as utakuwa busy unaficha ufupi na kujishitukia)
 


Very wise words, but daz not always work.
 
Hivi ukijijaza makorokoro yote hayo huhisi kulemewa?!


teh teh teh. uzuri mamito. watu wanaenda an extra mile kuonekana.
heri yako ulisha mpata Baba Ashrat hunaga pressure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…