Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Mimi bana labda kama alivosema Preta yaani nikuwe nimelewa, lakini mimi na akili zangu timamu halafu nikuone unavua mahipsi feki ya boksi mbele yangu unayaweka pembeni halaf unanisogezea kiuno chako orijino kimekaa kama kikaango cha chapati eti niendelee kubaki. Khaaa. Natokea dirishani na hela ya gesti na vinywaji utalipia wewe.
Mbavu zangu utazilipa lawyer!