Senee
JF-Expert Member
- Nov 16, 2015
- 954
- 1,053
Namwambiaga ila tabia n kama ngozi mkuuMwambie aache aisee....ni dalili ya uchafu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namwambiaga ila tabia n kama ngozi mkuuMwambie aache aisee....ni dalili ya uchafu.
Chafya siendi maliwato mradi kujiziba kwa leso au mkono kinywani wakati Wa kuipiga...Na ndio maana wataalamu wa afya wanatuambia tunawe mikono kwa sabuni nyakati muhimu yaani baada ya kutoka kazini, mazoezi. Ukipanda daladala ama kushuka eneo la kazi ama nyumbani cha kwanza ni kunawa maji kwa sabuni achilia mbali wakati wa kula yaani hata ukikutana na karanga ama mahindi
Tatizo linabaki kwa yule anaefanya hadharani na kwa akili ya kibinadamu huwa inachefua haswaaa though kuna mengine machafu zaidi yanafanyika kwa kificho.
Kwa tatizo hili la pua wengi tunadhani chooni ni sehemu ya kwenda haja kubwa na haja ndogo kumbe inaweza ikawa kama umebanwa chafya ambayo unaweza kui-control ama kugusa hizo pua ndani basi unaingia maliwatoni kujiweka safi kwa kupiga chafya za kutosha na mambo mengine mengi
Sahihi mkuu hii nimesemea kwa zile chafya mfululizo..mfano mie nina allergy na vumbu kuna kipindi huwa naandamwa na chafya inabidi naenda maliwato ili niziachie kwa uhuru mpaka ile ya mwisho ndo angalau najihisi kuponaC
Chafya siendi maliwato mradi kujiziba kwa leso au mkono kinywani wakati Wa kuipiga...
Kuna tofauti kukuna pua kwa nje kama Nyerere na kuchokonoa kwa ndani ya pua na kidole. Ilw ya Nyerere ni kawaida tuu, tatizo ni ile ya kuzungusha mdole ndani ya puawengine kuminya pua ni namna ya kuongea..ata nyerere alikuwa akishika pua
Nothing disgusts me like spitting in public... [emoji35]Your absolutely right, it's a very bad habit.
At one time while in Oslo someone asked me if picking nose is African way of life!
But while your wondering with nose picking, unfortunately in Oslo spatting is a common habit,it is really disgusting but nobody care's.
Sasa mwenzio anawashwa na puwa afanyejeHuyu ni yule mpenzi wako ambae kila ukiongea nae unamuona kabisa ni yule wa kwashida na raha. Leo amekutaarifu kuwa anakularibisha chakula kwao.
Umetoa ile nguo ya mwisho kabatini ile uliyolipa kwa instalments ili ikutoe aibu pia unaimani ile nguo inakufanya uonekane mtu wa heshima.
Umekaribishwa vizuri nyumbani ndugu zake wote. Mdogo wake wa mwisho ana kipaji cha kupiga picha na amekabidhiwa camera ili kumbukumbu ta leo isipotee.
Unayo tabia ya kufokoa pua kutoa mabubu bila mwenywe kujielewa hasa unapokuwa nervous. Baadhi ya picha ziatoka mwenyewe uko busy na pua yako. Unaonyeshwa unatamani ardhi ipasuke, unaziwahi ili uzichane. Mpenzi wako anakujibu baba pia amezipenda hizo na amechukua copy za kwanza amezihifadhi.
Hivi unapofokoa kwa vidole una tumia mikono hiyo kusalimia watu, huoni kuwa unasambaza germs?
Kwakweli hii tabia inakera sana kwa wanaume na wanawake.
Aah taratibu bwana nakula mwenzako!Inakera kwa kweli, afu wengine wanayatoa makamasi wanaanza kuyachezea chezea kuyafinyafinya
[emoji16][emoji16][emoji16]Aah taratibu bwana nakula mwenzako!
Yaani hawana aibu! Sijui wanamweka vizuri Abdala kichwa wazi!pia na wanaume kujishika shika madudu yao hadharani jaman huwa nachefukwaaaaaaa!ptyu
Yaani hawana aibu! Sijui wanamweka vizuri Abdala kichwa wazi!
Inakera kwa kweli, afu wengine wanayatoa makamasi wanaanza kuyachezea chezea kuyafinyafinya