Kuchokonoa pua mbele za watu ni tabia inayochefua

Kuchokonoa pua mbele za watu ni tabia inayochefua

Nisaidie dawa mkuu, maana nshaivuta imerefuka kuzidi hata ya kagame, najikutaga tu jamani dah comments za humu zimenifanya nijisikie vibaya
787c0dc65390f0028491eaff868653a6.jpg
 
Si afadhali anayechokonoa pua lake kwa mikono yake mwenyewe kujisafisha bila soni!
Nitukanie wazamiaji. Hao wazamiaji wa chumvini!
Tafuta tusi zuri uwatukane waache tabia hiyo shenzi.
Waase watumie njia natural kufanya hayo mavitu.
Waambie na kuwakumbusha kuwa wao si mabeberu mbuzi wa kulamba na kunusa ujinga.
Wazamiaji kivipi wanaopiga deki uvinza au wanaojikuna hadharini?
 
Bora anaechokonoa pua hadharani kuna watu wanachokoa hadi.......
 
Na ndio maana wataalamu wa afya wanatuambia tunawe mikono kwa sabuni nyakati muhimu yaani baada ya kutoka kazini, mazoezi. Ukipanda daladala ama kushuka eneo la kazi ama nyumbani cha kwanza ni kunawa maji kwa sabuni achilia mbali wakati wa kula yaani hata ukikutana na karanga ama mahindi

Tatizo linabaki kwa yule anaefanya hadharani na kwa akili ya kibinadamu huwa inachefua haswaaa though kuna mengine machafu zaidi yanafanyika kwa kificho.

Kwa tatizo hili la pua wengi tunadhani chooni ni sehemu ya kwenda haja kubwa na haja ndogo kumbe inaweza ikawa kama umebanwa chafya ambayo unaweza kui-control ama kugusa hizo pua ndani basi unaingia maliwatoni kujiweka safi kwa kupiga chafya za kutosha na mambo mengine mengi
Mambo mengi yanayofanyika laiti ungeyaona ungeshangaa.Angalia[emoji117]
 

Attachments

Sio pua tuu kujamba, kutoa mabaki ya cha kula kwenye hadhara inakera sana
 
Back
Top Bottom