Kuchokonoa pua mbele za watu ni tabia inayochefua

Umenena vyema hii tabia inakera aisee..bora utumie leso tu
 
C
Chafya siendi maliwato mradi kujiziba kwa leso au mkono kinywani wakati Wa kuipiga...
 
Kuna wale wakishayatoa wanajifutia kwa mkono na kufanya kama wananawa hivi ndugu zangu wamasai na waarusha wana hii tabia sana wanaoishi Arusha mnajua hii kitu
 
C

Chafya siendi maliwato mradi kujiziba kwa leso au mkono kinywani wakati Wa kuipiga...
Sahihi mkuu hii nimesemea kwa zile chafya mfululizo..mfano mie nina allergy na vumbu kuna kipindi huwa naandamwa na chafya inabidi naenda maliwato ili niziachie kwa uhuru mpaka ile ya mwisho ndo angalau najihisi kupona
 
That's right, sio ustaarabu kuchokonoa pua na kidole mbele za watu.
Pia mii nakereka sana na mtu akisghakula nyama anaanza kuchokoa meno kwa toothpick mbele za watu, afu mwingine unakuta anachokonoa la ulimi vile... Damn!!
Tubadilike, ukitaka kukuna oua tumia handkerchief kwa ustaarabu, pia ukitaka kuchokoa meno jifunike basi na kiganja cha mkono.
 
wengine kuminya pua ni namna ya kuongea..ata nyerere alikuwa akishika pua
Kuna tofauti kukuna pua kwa nje kama Nyerere na kuchokonoa kwa ndani ya pua na kidole. Ilw ya Nyerere ni kawaida tuu, tatizo ni ile ya kuzungusha mdole ndani ya pua
 
Nothing disgusts me like spitting in public... [emoji35]
 
Sasa mwenzio anawashwa na puwa afanyeje
 
Haka ni kaugonjwa kangu kakubwa najisahau kabisa yaani
 
Inakera sana sawa na kuchokonoa meno mbele ya watu baada ya kula unakuta jitu liko na teeth stick mbele ya watu inakera sana.
 
pia na wanaume kujishika shika madudu yao hadharani jaman huwa nachefukwaaaaaaa!ptyu
 
Si afadhali anayechokonoa pua lake kwa mikono yake mwenyewe kujisafisha bila soni!
Nitukanie wazamiaji. Hao wazamiaji wa chumvini!
Tafuta tusi zuri uwatukane waache tabia hiyo shenzi.
Waase watumie njia natural kufanya hayo mavitu.
Waambie na kuwakumbusha kuwa wao si mabeberu mbuzi wa kulamba na kunusa ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…