Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Muulize EtwegeKumbe Ile kuongozw malaika ilikuwa janja janja zake tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize EtwegeKumbe Ile kuongozw malaika ilikuwa janja janja zake tu?
Sir Elton JohnKwani watu wameanza kuacha kupiga kura leo? Muulize Tindo Ila CCM inashinda kwa kishindo kila mwaka wa uchaguzi.
Haya komaa nae Mh. RaisTatizo muda. Huyu anayedhani katiba ni kama kitabu kingine wacha tukomaye naye kwanza. Etwege baadaye.
Kazi ipo 😁😂😂😂😂😂
Ukiamua kua mwendawazimu chizi karogwa tena ulichoandika hapo niCCM ni makini na haijawahi kuchoka kuipambania nchi na afrika kwa ujumla toka enzi na enzi
Polisi wapo wangapi nchi hii watakaoweza kumdhibiti mamilioni ya wananchi wanaotaka mabadiliko baada ya kuichoka CCM? Uchaguzi ujao tarajieni watu kushinda na kukesha kwenye vituo vya kura. Sijui mtaibaje kura.?CCM ushindi wao hautegemei watu kuwapenda..unategemea dola
Nimecheka kwa nguvu, jimbo lina wapiga kura labda 70,000, wanaojitokeza kupiga kura ni 1,500, matokeo halisi CCM inapata kura 200, kisha wanajipa 1,300. Halafu mnajitokeza kushangilia ushindi wa kishindo! Huo ni ujinga wa kipaji.Kwani watu wameanza kuacha kupiga kura leo? Muulize Tindo Ila CCM inashinda kwa kishindo kila mwaka wa uchaguzi.
Ni enzi hizo za akina Mwl Nyerere sio ya sasaCCM ni makini na haijawahi kuchoka kuipambania nchi na afrika kwa ujumla toka enzi na enzi
Kama haikuwezekana 2015 haitawezekana...elewa hvi dola inanusa insurrection from a mile away...the only way CCM anatoka Ni kama hayo mapinduzi Yana sapoti atleast asilimia 20 from the ruling elites na wakuu wa vyombo vya dola..otherwise mtakuwa mnaenda kufanya population controlPolisi wapo wangapi nchi hii watakaoweza kumdhibiti mamilioni ya wananchi wanaotaka mabadiliko baada ya kuichoka CCM? Uchaguzi ujao tarajieni watu kushinda na kukesha kwenye vituo vya kura. Sijui mtaibaje kura.?
Hakuna mwenye ujasiri wa kumtukana Mh. Rais, mnahamisha magoli mnapolemewa na hoja ndiyo mnaita matusi. Naona yeye Rais ndiye huwa anatukana hata hotuba yake juzi ilijaa matusi kwa wapinzani wake.Ukweli mtu mnampa kashfa na matusi huo ndio ukweli? Hamuwezi kutumia lugha za staha kumueleza mtu ukweli mpaka mumkashifu? Ondoeni unafiki wenu hapa. Hata mimi mengi tu ya ukweli nimemshauri rais tena kupitia hapa hapa JF na ameyafanyia kazi ila nyie endeleeni na hiyo style yenu mkidhani ndio ujanja.
Kwahiyo slaa apomuita Rais samia mpumbavu wewe kwako ni sawa?Hakuna mwenye ujasiri wa kumtukana Mh. Rais, mnahamisha magoli mnapolemewa na hoja ndiyo mnaita matusi. Naona yeye Rais ndiye huwa anatukana hata hotuba yake juzi ilijaa matusi kwa wapinzani wake.
Kwanini hamuendi mahakamani? Ingawa hizo data ulizoandika hapa ni uwongo mtupu.Nimecheka kwa nguvu, jimbo lina wapiga kura labda 70,000, wanaojitokeza kupiga kura ni 1,500, matokeo halisi CCM inapata kura 200, kisha wanajipa 1,300. Halafu mnajitokeza kushangilia ushindi wa kishindo! Huo ni ujinga wa kipaji.
We ni yule mwanafunzi anayesema amefaulu sana kwa kupata division 4, kisa wengine wote wamepata zero!
Kazaneni
Haya