Kuchokwa huku, CCM ijitafakari

Kuchokwa huku, CCM ijitafakari

CCM ni makini na haijawahi kuchoka kuipambania nchi na afrika kwa ujumla toka enzi na enzi
Ukiamua kua mwendawazimu chizi karogwa tena ulichoandika hapo ni
sahihi kabisa, lakini ukitumia angalau theruthi ya akili utagundua ni upuuzi kama sio upumbavu kiasi umeandika hapo
 
CCM ushindi wao hautegemei watu kuwapenda..unategemea dola
Polisi wapo wangapi nchi hii watakaoweza kumdhibiti mamilioni ya wananchi wanaotaka mabadiliko baada ya kuichoka CCM? Uchaguzi ujao tarajieni watu kushinda na kukesha kwenye vituo vya kura. Sijui mtaibaje kura.?
 
Kwani watu wameanza kuacha kupiga kura leo? Muulize Tindo Ila CCM inashinda kwa kishindo kila mwaka wa uchaguzi.
Nimecheka kwa nguvu, jimbo lina wapiga kura labda 70,000, wanaojitokeza kupiga kura ni 1,500, matokeo halisi CCM inapata kura 200, kisha wanajipa 1,300. Halafu mnajitokeza kushangilia ushindi wa kishindo! Huo ni ujinga wa kipaji.

We ni yule mwanafunzi anayesema amefaulu sana kwa kupata division 4, kisa wengine wote wamepata zero!
 
Polisi wapo wangapi nchi hii watakaoweza kumdhibiti mamilioni ya wananchi wanaotaka mabadiliko baada ya kuichoka CCM? Uchaguzi ujao tarajieni watu kushinda na kukesha kwenye vituo vya kura. Sijui mtaibaje kura.?
Kama haikuwezekana 2015 haitawezekana...elewa hvi dola inanusa insurrection from a mile away...the only way CCM anatoka Ni kama hayo mapinduzi Yana sapoti atleast asilimia 20 from the ruling elites na wakuu wa vyombo vya dola..otherwise mtakuwa mnaenda kufanya population control
 
Ukweli mtu mnampa kashfa na matusi huo ndio ukweli? Hamuwezi kutumia lugha za staha kumueleza mtu ukweli mpaka mumkashifu? Ondoeni unafiki wenu hapa. Hata mimi mengi tu ya ukweli nimemshauri rais tena kupitia hapa hapa JF na ameyafanyia kazi ila nyie endeleeni na hiyo style yenu mkidhani ndio ujanja.
Hakuna mwenye ujasiri wa kumtukana Mh. Rais, mnahamisha magoli mnapolemewa na hoja ndiyo mnaita matusi. Naona yeye Rais ndiye huwa anatukana hata hotuba yake juzi ilijaa matusi kwa wapinzani wake.
 
Hakuna mwenye ujasiri wa kumtukana Mh. Rais, mnahamisha magoli mnapolemewa na hoja ndiyo mnaita matusi. Naona yeye Rais ndiye huwa anatukana hata hotuba yake juzi ilijaa matusi kwa wapinzani wake.
Kwahiyo slaa apomuita Rais samia mpumbavu wewe kwako ni sawa?
 
Nimecheka kwa nguvu, jimbo lina wapiga kura labda 70,000, wanaojitokeza kupiga kura ni 1,500, matokeo halisi CCM inapata kura 200, kisha wanajipa 1,300. Halafu mnajitokeza kushangilia ushindi wa kishindo! Huo ni ujinga wa kipaji.

We ni yule mwanafunzi anayesema amefaulu sana kwa kupata division 4, kisa wengine wote wamepata zero!
Kwanini hamuendi mahakamani? Ingawa hizo data ulizoandika hapa ni uwongo mtupu.
 
Back
Top Bottom