Ni zawachate man... au mashitikaTuseme hizo nyumba wanazopangisha zimeshushwa au zimejiotea?
Kwa kuongezea tu... biashara ni ajira pia sasa ukiwa mtumishi na unafanya biashara maana yake ww una ajira mbili.. tatizo zaidi linaweza kuwa kwenye ajira ya pili kwakuwa itakuwa na vipindi virefu vya uyatima(ombwe la usimamizi)Hivi unajua akili za kijasiriamali haziko sawa! Hivi unajua kama huna akili ya biashara hata ukipewa mil 200 haiwezi kukusaidia kuongeza kipato Zaid utaingiza hasara tu? Watumishi wengi hawana muda wa kusimamia biashara zao unalijua hilo, nawashaur watumishi kopeni mjenge nyumba na mnunnue magari, mtaishia kupanga kwa huyu jamaa!!!
Ulaya hawajengi si kwa sababu hawataki Ila kuna watu wa real estate wanajenga mwananchi anakopeshwa na anailipia kidogo kidogoKweli mkuu ishi vzuri hata ka kupanga watoto wasome vizuri mambo mengine yatafuata huko ulaya umeona nani anajenga?
Wahindi walijenga sana Tanzania ila lilipokuja azimio la Arusha nyumba zao zilitaifishwa.hiyo Risk hawaibebi Tena sababu ya Historia hata hizo nyumba za NHC ni za kwao walijenga babu zao.Mfano mzuri, kwa apa Tanzania. Watanzania wenye Asili ya Indian, wanamiliki Cash na sio assets. Na wengi wanakopa pesa ndefu kwa ajili ya kufanyia biashara na sio kujenga nyumba na ndio maana waindi wengi wanakaaa katika nyumba za NHC. Awana stress za kujenga nyumba na pesa za mawazo
Huu ni uzoefu wako au umetoa wapi habari hii, kabla wengine hatujaanza ubishi. Tusije kuanza kubishana kumbe tunajibishana na kijana mwanafunzi kula kulalaMikopo tunayokopa benki hapa nchini Tanzania zina riba kubwa sana kitu ambacho hufanya watanzania wengi kutofaidika sana na mikopo hiyo. Kwani kuna benki hutoza riba zenye faida ya asilimia 18%-23%.
Watanzania tulio wengi tukishachukua mikopo hiyo hukimbilia kuninua uwanja na kuanza kujenga nyumba, kisha huishi maisha ya shida sana kwa kipindi cha miaka minne mpk mitano. Wapo wengine hukimbilia kununua gari ili waonekane hapa mjini lakini hata uwanja hawana, mikopo hiyo ya benk ina mambo sana.
Wazo la kukimbilia kujenga nyumba kwa kutumia mkopo ni kujitengenezea maisha ya dhiki sana kwani makato huwa makubwa na kufanya kila siku kukimbizana na madeni yasiyoisha. Ushauri wangu na maoni yangu kama unataka kujenga au kununua gari ni bora ujiwekee mkakati binafsi unaweza amua kila mwezi kujiwekea kiasi fulani ambacho unatumia kwaajiri ya ujenzi, utafanya hivyo bila riba wala hasara yeyote.
Mikopo ya benki ni yakuwekeza katika biashara na ili ziongeze kipato na biashara hiyo irudishe mkopo huo yenyewe bila we kuathiri mapato ya kazi yako.
Kuweka pesa kila mwezi au kila sikunkutokana na maingizo yako inawezekana, kikubwa ni uamuzi thabiti na kujiwekea malengo na kuhakikisha unayafikia malengo yako.
Huu ni ushauri na maoni yangu jinsi ninavyoona namna ya kutumia mkopo wa benk kwa faida, lakini hata kama mtu akajenga nyumba ya biashara ni sahihi lakini nyumba ya kuishi ni safi sana lakini kuna hasara kubwa ndani yake.
Kwa maoni yangu kukopa kwaajili ya kumalizia kujenga nyumba ili uweze kuhamia ni jambo jema kabisa. Lkn kukopa kwaajili ya kuanza kujenga nyumba ambayo haijaanzwa siwezi mshauri mtu kamwe labda awe na uhakika kuwa mkopo huo utakamilisha nyumba kiasi cha kuruhusu yeye kuishi kwenye nyumba hiyo na kuachana kabisa na kupanga. Kukopa halafu unajenga nyumba halafu hela inaisha na nyumba haijakamilika sishauri.
Sent using Jamii Forums mobile app
RIBA NI RIBA TU. LAANA YAKE IPO PALE PALE. JENGA NAYO, LIMA NAYO, PIGA NAYO KAZI, BIASHARA NK UTAKAVYO... LAKINI HAUTACHUKUA ROUND UTAONJA UNACHOSTAHILIMikopo tunayokopa benki hapa nchini Tanzania zina riba kubwa sana kitu ambacho hufanya watanzania wengi kutofaidika sana na mikopo hiyo. Kwani kuna benki hutoza riba zenye faida ya asilimia 18%-23%.
Watanzania tulio wengi tukishachukua mikopo hiyo hukimbilia kuninua uwanja na kuanza kujenga nyumba, kisha huishi maisha ya shida sana kwa kipindi cha miaka minne mpk mitano. Wapo wengine hukimbilia kununua gari ili waonekane hapa mjini lakini hata uwanja hawana, mikopo hiyo ya benk ina mambo sana.
Wazo la kukimbilia kujenga nyumba kwa kutumia mkopo ni kujitengenezea maisha ya dhiki sana kwani makato huwa makubwa na kufanya kila siku kukimbizana na madeni yasiyoisha. Ushauri wangu na maoni yangu kama unataka kujenga au kununua gari ni bora ujiwekee mkakati binafsi unaweza amua kila mwezi kujiwekea kiasi fulani ambacho unatumia kwaajiri ya ujenzi, utafanya hivyo bila riba wala hasara yeyote.
Mikopo ya benki ni yakuwekeza katika biashara na ili ziongeze kipato na biashara hiyo irudishe mkopo huo yenyewe bila we kuathiri mapato ya kazi yako.
Kuweka pesa kila mwezi au kila sikunkutokana na maingizo yako inawezekana, kikubwa ni uamuzi thabiti na kujiwekea malengo na kuhakikisha unayafikia malengo yako.
Huu ni ushauri na maoni yangu jinsi ninavyoona namna ya kutumia mkopo wa benk kwa faida, lakini hata kama mtu akajenga nyumba ya biashara ni sahihi lakini nyumba ya kuishi ni safi sana lakini kuna hasara kubwa ndani yake.
Umeongea point mkuu...Ni vema mtu akapiga hesabu zake vizuri nyumba za kupanga Zina kero na kumiliki nyumba Ni Jambo la msingi na ndoto ya wengi..But maisha ya kila siku Ni muhimu unakuta mtu kafika kwake lakini makato ya Bank yanamuachia pesa kiduchu kula kwake na familia kunaanza kuwa tabu tupu.... Mikopo Ni njia nzuri na short cut lakini bila kupiga hesabu inageuka maumivuu...Raha ya maisha sio lazma uwe umejenga nyumba,,raha ya maisha ni kufanikisha mengi ambayo unayataman,na kuyaishi,sio kila mtu ana taman kua na nyumba,mi naamin yyte anaejua kutafuta hela na mwenye maono ya mbali nyumba sio kipaumbele chao.. Nyumba ni kitu cha mwsho kuwa nacho,ila unaweka mikondo ya hela ili hela ianze kukufanyia kaz baada ya wewe kutumia muda mwngi na akili na nguvu zako kuitafuta sasa inafiki kipind hela inakutumikia wewe.. Unaiamuru na inakupa majibu mubashara, mi namtetea mtu ambae anaweza kupanga laki sita kwa mwez kwenye appaintment then chin ana gar ya milion30-40,huyu akiamua kujenga anajenga tu lakin kujenga sio kipambele chake..
Narudia nyumba inakusaidia nn kama umewekeza nguv zako zote kwenye kujenga halaf kula kwako kumekua kwa shida? Nyumba ina maana gan kama umekopa ukajenga na mshahara wako unakatwa unabaki kulalamikia serikali? Kujenga kuna maana gan kama unalala njaa? Wekeza hela akilini ili akili ikujazie hela mfukoni hapo unaweza nunua cchte ukipendacho. Bado nasema siwalaumu wanaokopa kwa ajili ya ujenzi
2% per.. annual or monthly!! 2*12=24% Hapo multiply time...??? Hakuna financial institutions inayotoa riba ya 2%Wacha tulifanyie kazi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji122][emoji122].Inawezekana wewe nyumba kwako ni mafanikio makubwa. Sikulaumu sababu you follow the system that keeps you trapped in the same hole..You don't follow your heart..Umeshaaminishwa kwamba kitu cha kwanza ni kuwa na nyumba kabla hujawa na uhakika wa kipato..Sawa umejenga nyumba baada ya hapo nini kitafuata. Unafanya kazi mpaka unastaafu kama Mungu anakupa uhai. The only achievement ukiulizwa unasema nilijenga nyumba. Then your kids go through the same cycle.. They study..They get employed They build a house...πππ..That is real fucking boring life..Jisifie kwa kuacha mali kwa generations zinazokuja....Hiyo cycle ya kufanya kile ambacho society inataka ndo ya asilimia kubwa ya population imekamatiwa humo and you are trapped in that vicious cycle...Yaani you came to thiz world only to build a house? Na unajisifia kabisa hiyo ni accomplishment?ππ Acha utani bwana..
Hivi ndivyo nilivyofanya mimi mwaka huuKuna jamaa yangu ana nyumba 5 mpaka ss kutokana na mikopo,
Mwanzon alikuwaga anajenga then aksihamaliza boma anakopa na kufanya finishing then anapangisha, mkopo ukiisha anafanya the same. mwaka jana amekopa 50M/5yrs akamaliza ujenzi wa nyumba within 3month na kuipangisha. Anasema kwa kusaidia na nyumba nyingine mkopo wake utaisha after 3/3.5yeras instead ya 5 years
Hivi sasa anajidunduliza atafute eneo kubwa aje kujenga nyumba 3 houses kwa mikopo hiyo hiyo ( kwa dhamana ya one house plus salary yake)
Advantage aliyonayo ni kuwa anakopa kutumia mshahara then makato ya salary plus kodi ya hizo nyumba ndo zinamsaidia kulipa.
Sofar naona yuko vzr, kama anapata 1.2M/month na i think its a good business model