Siempre Hechos
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 1,157
- 1,413
Nakubaliana na wewe kabisa, unalipa kodi laki 400,000 kwa mwezi, unashindwa nini kukopa na marejesho yakawa hiyo gharama ya kodi unayolipa kila mwezi?Kulipa kodi 400000 kuna reflect kipato chako. Maisha ya sasa vijana tunavipato vidogo. Ukiwa na uwezo wa kulipa hiyo kodi, ni bora ukope ili pesa uliyotakiwa kulipa kodi ifanye marejesho.