Andika vizuri, pesa zimechotwa kwenye akaunti yako?Kinachoendelea bank sio tozo! Ni pesa za watu kuibwa!
Ukipita karibu na benki.Hivi hizo tozo za benki ndo ziko vipi? Unakatwa ukifanya muamala au hatakama usipofanya?
🤣🤣🤣🤣Ukipita karibu na benki.
Rejesho la mikopoKuchukua pesa za watu bank si kitu cha kawaida. Hii nchi RAIA wake huwa tunatabia ya kuzoea mambo hata yasiyozoeleka. Huwa tunasema tunamwachia Mungu. Na, hata hili litapita.
Lakini ni bora hata tuambiwe zinaenda wapi? Kama tunalipa madeni tuambieni na kama zinaenda kwenye miradi tuambieni, kama ndo tunajilipa mishahara semeni pia.
Kukaa kimya kama hamsikii malalamiko ya wananchi ni dharau kubwa. Tunahitaji tuambiwe hizi pesa mnazochukua kwenye Acc za watu bank ZINAKWENDA WAPI!?
Hayati alichukua za Matajiri tu lakini huyu wa Sasa hadi za Walemavu anakomba.Kuchukua pesa za watu bank si kitu cha kawaida. Hii nchi RAIA wake huwa tunatabia ya kuzoea mambo hata yasiyozoeleka. Huwa tunasema tunamwachia Mungu. Na, hata hili litapita.