Yule alikuwa zaidi ya laanaNimesikia mahali wakijadili kuwa kuna kipindi hapo nyuma tulikopa saana kwenye benki za kibiashara. Kipindi kile tulichokuwa tunaambiwa miradi inajengwa kwa hela za ndani.
Kwa sasa ile mikopo imeiva hivyo sehemu kubwa ya makusanya ya Kodi hutumika kulipa mikopo hiyo! Hakuna mwenye guts za kutuambia huu ukweli! Zaidi tunaumia kwa matokeo ya yule mzee aliyetuambia sisi ni "matajiri kweri kweri"