Yule alikuwa zaidi ya laanaNimesikia mahali wakijadili kuwa kuna kipindi hapo nyuma tulikopa saana kwenye benki za kibiashara. Kipindi kile tulichokuwa tunaambiwa miradi inajengwa kwa hela za ndani.
Kwa sasa ile mikopo imeiva hivyo sehemu kubwa ya makusanya ya Kodi hutumika kulipa mikopo hiyo! Hakuna mwenye guts za kutuambia huu ukweli! Zaidi tunaumia kwa matokeo ya yule mzee aliyetuambia sisi ni "matajiri kweri kweri"
Jiwe alikuwa laana kwa Taifa, yaani bora Mungu alimwondoshaWalimnanga Magufuli anachukua hela za watu kwenye akaunti kwa kigezo cha Malimbikizo ya kodi which made alot of sense sababu matajiri wengi walikwepa kodi kipindi cha Jakaya, sasa tuliyenaye kabatiza wizi wa mchana kweupe kwa jina la "Tozo" kikubwa nainjoy sababu hata waliomtukana Magufuli wanainjoy panga linalotembezwa kuanzia bank, kwenye simu hadi magtoni wanakolala.
Bora Samia kuliko yule muovoUsipende kuwasemea watu, sema ww na familia yako ndio mnamkubali
Lini serikali imesema tozo zinajenga hospitali?Mbona inaeleweka zinakokwenda kufanya kazi tozo na Kodi zetu, kwani huoni vituo vya Afya, zahanati, shule, huduma za umeme na maji vikisogezwa na kupelekwa Hadi vijijini, kwani huoni namna mwananchi alivyo punguziwa adha ya kusafiri umbali mrefu kutafuta huduma,
Tuendelee kumuunga mkono mh Rais wetu kwa kazi kubwa anayoifanya kuijenga nchi yetu,
Pia tutambue kuwa nchi yetu itajengwa kwa mikono yetu wenyewe, hivyo lazima tuchangie kidogo kutoka katika vipato vyetu kuijenga nchi yetu
Mbona tuliambiwa mpaka vituo vya Afya na shule zilizojengwa kutokanaa na tozo, hata hizi utafahamishwa tu, lakini pia utaona namna nchi yetu inavyobadilika na kusonga mbelee kimaendeleo, hata hiyo Elimu bure mpaka kidato Cha sita zitakwenda kugharamia huko, hata ongezeko la mikopo ya Elimu ya juu zitakwenda Huko pia , kwa hiyo Ni kupitia tozo hizi utaendeleaa kuona mabadiliko chanya kila sehemuLini serikali imesema tozo zinajenga hospitali?
mpumbavu wwNimesikia mahali wakijadili kuwa kuna kipindi hapo nyuma tulikopa saana kwenye benki za kibiashara. Kipindi kile tulichokuwa tunaambiwa miradi inajengwa kwa hela za ndani.
Kwa sasa ile mikopo imeiva hivyo sehemu kubwa ya makusanya ya Kodi hutumika kulipa mikopo hiyo! Hakuna mwenye guts za kutuambia huu ukweli! Zaidi tunaumia kwa matokeo ya yule mzee aliyetuambia sisi ni "matajiri kweri kweri"
Huu ni wizi unaofanywa na serikali kuibia wananchi wake!Kinachoendelea bank sio tozo! Ni pesa za watu kuibwa!
We jamaa ni wa ovyo kinoma....2025 mkimuweka Samia jiandaeni kuiba kura maana watakaomchagua ni nyinyi tu walamba asali HakunA mwananchi wa kawaida atoke kwake akampigie kura huyu maza
Kuchukua pesa za watu bank si kitu cha kawaida. Hii nchi RAIA wake huwa tunatabia ya kuzoea mambo hata yasiyozoeleka. Huwa tunasema tunamwachia Mungu. Na, hata hili litapita.
Lakini ni bora hata tuambiwe zinaenda wapi? Kama tunalipa madeni tuambieni na kama zinaenda kwenye miradi tuambieni, kama ndo tunajilipa mishahara semeni pia.
Kukaa kimya kama hamsikii malalamiko ya wananchi ni dharau kubwa. Tunahitaji tuambiwe hizi pesa mnazochukua kwenye Acc za watu bank ZINAKWENDA WAPI!?
Mungu ameondoa mkono wake kuilinda serikali hii.Kuchukua pesa za watu bank si kitu cha kawaida. Hii nchi RAIA wake huwa tunatabia ya kuzoea mambo hata yasiyozoeleka. Huwa tunasema tunamwachia Mungu. Na, hata hili litapita.
Lakini ni bora hata tuambiwe zinaenda wapi? Kama tunalipa madeni tuambieni na kama zinaenda kwenye miradi tuambieni, kama ndo tunajilipa mishahara semeni pia.
Kukaa kimya kama hamsikii malalamiko ya wananchi ni dharau kubwa. Tunahitaji tuambiwe hizi pesa mnazochukua kwenye Acc za watu bank ZINAKWENDA WAPI!?
Hii ni nchi pekee ambayo watu wake wapo kwenye comfort zone hata uwape mateso gani ya kimaisha, na ndiyo maana CCM hawana wasiwasi - wanajua 2025 watamaliza uchaguzi salama na wataingia madarakani tena na tena.Tumekuwa Walpole sana na kama ulivyosema hata hili litapita...... huyu tumvizie atuambie pesa zinaenda wapi ( mwigulu)
Mbona inaeleweka zinakokwenda kufanya kazi tozo na Kodi zetu, kwani huoni vituo vya Afya, zahanati, shule, huduma za umeme na maji vikisogezwa na kupelekwa Hadi vijijini, kwani huoni namna mwananchi alivyo punguziwa adha ya kusafiri umbali mrefu kutafuta huduma,
Tuendelee kumuunga mkono mh Rais wetu kwa kazi kubwa anayoifanya kuijenga nchi yetu,
Pia tutambue kuwa nchi yetu itajengwa kwa mikono yetu wenyewe, hivyo lazima tuchangie kidogo kutoka katika vipato vyetu kuijenga nchi yetu
Mh mama Samia suluhu Hassani ndio Rais wetu mpaka 2030, anakubalika na watanzania na watanzania bado tunamhitaji mh mama Samia suluhu Hassani aendelee kututumikia sisi watanzania
Ameonyesha dhamira ya dhati katika kuleta mabadiliko ya kiuchumi kwa nchi hii, ameonyesha juhudi kubwa katika kutatua kero na matatizo ya wananchi,