Kudadadeki malipo ni hapa hapa duniani kumbe kuna Mtu Kakimbiwa na Mkewe, ila Watu wa Media na Wadhamini wake wanamfichia Siri

Sasa Nani anakubali iuishi jna Mssukule
 
KWELI FANI SI KITU CHA MWILINI ILA CHA ROHONI YAANI CHAKUZALIWA NACHO, HIVI MTU MWENYE AKILI ANAEZA KUONA ULICHOANDIKA APA? CZ NI KAMA UMBEA NA UPUUZI TU, IV KUKIMBIWA NA MKE NI SUALA LA KUMUANDIKA MTU? HUJAWAHI ONA KUWA MKE ANAEZA KUMKIMBIA MME ILA MAPUNGUFU YAKAWA KWA UYO MWANAMKE? ACHA USHAMBA BRO UNAJIDHARAULISHA, ACHA KUTAFUTA UMAARUFU KISHAMBA IVO.
 
Mke hawezi kuvumilia mwanaume asiye na msimamo.
Mwanaume unapata kashfa ya kuwekwa kinyumba Dubai,halafu unakuja kutukana matajiri bila sababu ya msingi!
Kama mwanamke ana akili lazima akukimbie tu
 
Manara ujanja wake wote ule kashindwa kujiunga Jf.
Maana angekuwepo humu kwa ulopo lopo ule tungeshajua uwepo wake humu.
 
Ila we jamaa ni muongo sana juzi nimepishana na mkewe akiwa na ile prado yenye jina Bugati pale chole road masaki.
Sawa tumeshajua kuwa unakaa hapo ( huko ) Masaki ambako Wewe umepajua Ukubwani ila Mightier nimezaliwa Mtaa huo huo, kusomea St. Peters Kindagarten hapo kisha Oysterbay Primary ambapo Mwalimu Mkuu wangu akiwa ni Marehemu Mwalimu Ng'ambi nikisoma na Watu kama akina Idi Janguo, Aluta Warioba na Dada Brenda Msangi Boss wa CCBRT.

Na Mimi na Kaka zangu ndiyo Waanzilishi wa hizo Beach Mbili za Coco Beach na kule Slipway enzi hizo tukiwa na Wadau wengine akina Marehemu Ngapasa Mapunda na Nicky Ngonyani wa Magic FM.

Watambie Washamba wenzio kuhusu Masaki na siyo Mimi sawa? Na mpaka sasa hata aliyenileta duniani anaishi hapo hapo Masaki tena Nyumba yake ikitizamana na Bahari.

Pimbi mkubwa Wewe.....!!!!
 
Unateseka ukiwa wapi labda Ndugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…