GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Nilishangaa sana kuona juma lokole na stan bakora kupigana eti kisa harmonize kuomba kurudiana na kajalaWanaume ni WAMBEA kuliko wanawake
Wanawake tumewaachia UMBEA sasa tunasaka PESA...
Ila nasikia jamaa yuko musoma huko sio DarNilishangaa sana kuona juma lokole na stan bakora kupigana eti kisa harmonize kuomba kurudiana na kajala
Ila dar wanaume wana mambo mengi sana
Umesema vyema ndugu yangu ila hakawii kukutukana .Wanaume ni WAMBEA kuliko wanawake
Wanawake tumewaachia UMBEA sasa tunasaka PESA...
Kwa vita hivi ninaburudishwa sana na makombora ya Manara, yanaripuka na kumsambaratisha adui!"Mwijaku asiwaongopee watu kuwa amejenga atuonesha hati kama kuna jina lake mke wake ana msitiri tu kuishi kwake alichokisema @officialbabalevo kina ukweli ndiyo maana alikaa kimya" Alisema Haji Manara.
Chanzo Taarifa: manaratv
Ila Haji Manara muhuni sana Wewe jamaa yaani hata hujaogopa kusema kuwa Mwijaku Kajaaliwa Umbile zuri Mashaalah?
Ukijaa tu katika 18 zangu Kizembe, Kishamba na hasa Kipumbavu lazima UTAYAKOGA tu.Kuwa na heshima we mzee😁😁😁😁😁😁😁
Upuuzi unaoshabikiwa na wapuuzi"Mwijaku asiwaongopee watu kuwa amejenga atuonesha hati kama kuna jina lake mke wake ana msitiri tu kuishi kwake alichokisema @officialbabalevo kina ukweli ndiyo maana alikaa kimya" Alisema Haji Manara.
Chanzo Taarifa: manaratv
Ila Haji Manara muhuni sana Wewe jamaa yaani hata hujaogopa kusema kuwa Mwijaku Kajaaliwa Umbile zuri Mashaalah?
Ukiwa kama Mpuuzi Mwandamizi JF nzima.Upuuzi unaoshabikiwa na wapuuzi
Anazungumzia maumbile ya wenzake, yeye ukimwita zeluzelu anakupeleka polisi"Mwijaku asiwaongopee watu kuwa amejenga atuonesha hati kama kuna jina lake mke wake ana msitiri tu kuishi kwake alichokisema @officialbabalevo kina ukweli ndiyo maana alikaa kimya" Alisema Haji Manara.
Chanzo Taarifa: manaratv
Ila Haji Manara muhuni sana Wewe jamaa yaani hata hujaogopa kusema kuwa Mwijaku Kajaaliwa Umbile zuri Mashaalah?
Wana mambo ya kiwaki sanaNilishangaa sana kuona juma lokole na stan bakora kupigana eti kisa harmonize kuomba kurudiana na kajala
Ila dar wanaume wana mambo mengi sana
Si mlisema mnataka haki sawa na 50 50? Au nyie mnataka haki zetu ila sisi tusichukue zenu?Wanaume ni WAMBEA kuliko wanawake
Wanawake tumewaachia UMBEA sasa tunasaka PESA...
Una uhakika wale ni wanaume?Nilishangaa sana kuona juma lokole na stan bakora kupigana eti kisa harmonize kuomba kurudiana na kajala
Ila dar wanaume wana mambo mengi sana
Mwezi mchanga tayariUkiwa kama Mpuuzi Mwandamizi JF nzima.