Kudadadeki Vita mpya kati ya Manara na Mwijaku imenoga

hii ni aibu sana kwa wanaume
 
Hiyo list uliyotaja kuna wengine umewasahau
zee la minyama
juma lukole
doto magari
dudu baya
 
Wanaume nao siku hizi wamekuwa mipasho ,umbeya promax .Dunia imekwisha ,kwani wanaume wamekuwa zaidi ya wanawake kwa mipasho.Wanaume wenzao uko duniani wanawaza kurusha vyombo mwezini,kutengeneza ndege,kutengeneza fedha ,investment nk wao matako ,wanawake duu Dr.Samia anaongoza watu wa ajabu lazima apate shida sana.Mama Samia Pole Dada yangu .
 
Umbea una faida gani kwa hii nchi?
 
Wanaume ni WAMBEA kuliko wanawake

Wanawake tumewaachia UMBEA sasa tunasaka PESA...
Dar ilitakiwa kuwa kioo cha mikoa mingine ila ndio imekuwa mfano kwa issue zisizo na maana.
Masela tumekuwa vip sijui unakuta msela yuko busy kutafta leo nani kafanya nini na wapi ili dah kwel ni dar.
 
Kwa hili jibu sijui kama karudi
Hajarudi na nina uhakika hatothubutu tena kujaa katika 18 zangu. Nina PhD ya Kujibizana na Watu kwa kila aina ya Maneno hata wakiwa 100 kwa wakati mmoja na Mimi hivi peke yangu tu na bado nitawamudu na kuwanyoosha wote.
 
Hawa machawa wote ni wapuuzi, kuanzia Dotto Magari, Mwijaku, Baba Levo na wapuuzi wengine waliojaa hapa mjini.....mwanamme una akili timamu unashindaje kujipiga picha na kuropoka tu kila kukicha ili uwekwe mjini?
 
Hajarudi na nina uhakika hatothubutu tena kujaa katika 18 zangu. Nina PhD ya Kujibizana na Watu kwa kila aina ya Maneno hata wakiwa 100 kwa wakati mmoja na Mimi hivi peke yangu tu na bado nitawamudu na kuwanyoosha wote.
Ulivyo mjinga unaona matusi ni sifa nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…