Kudahili wanafunzi kidato cha tano

Kudahili wanafunzi kidato cha tano

talalila

Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
18
Reaction score
2
Kuna shule za sekondari za binafsi zinatangaza kudahili wanafunzi wa kidato cha tano hata wakiwa na d3 au c2 na d1 au d5 wanadai eti wameruhusiwa na wizara ya elimu.. Kama kuna mtaalam toka wizarani hapa jamvin atujuze hli maana tusijeibiwa pesa zetu
 
Inatakiwa awe na c3, ila anaweza kuingia kama hana c akiwa ana rudia,
 
mmmh labda huo mwongozo umetoka sekunde moja iliyopita
 
Back
Top Bottom