Kuna shule za sekondari za binafsi zinatangaza kudahili wanafunzi wa kidato cha tano hata wakiwa na d3 au c2 na d1 au d5 wanadai eti wameruhusiwa na wizara ya elimu.. Kama kuna mtaalam toka wizarani hapa jamvin atujuze hli maana tusijeibiwa pesa zetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.