Kwa wanaoijua sheria naomba watusaidie, je kwenda mahakamani kudai mwongozp wa kimahakama ni kosa la jinai?
Nailiza hivyokwa sababu hapa nchini yanaiyo endelea ni kama vile mtu akiikosoa serikali au akiwa na mawazo kinyume na serikali iliyopo madarakani aiaonekana kama muhaini.
Hapa naona wakili Mwabukusi anahitwa mhaini, je kufungua kesi mahakamani ni uhaini?
Kwa mawazo yangu naona kuna watu wanampotoshwa Rais kwa faida zao binafsi.
Kuna hawa watu wanajiita chawa, hawa ndo watakao maliza Rais