Kudai haki mahakamani ni Uhaini?

Kudai haki mahakamani ni Uhaini?

Ulimbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Posts
3,768
Reaction score
4,038
Kwa wanaoijua sheria naomba watusaidie, je kwenda mahakamani kudai mwongozp wa kimahakama ni kosa la jinai?
Nailiza hivyokwa sababu hapa nchini yanaiyo endelea ni kama vile mtu akiikosoa serikali au akiwa na mawazo kinyume na serikali iliyopo madarakani aiaonekana kama muhaini.

Hapa naona wakili Mwabukusi anahitwa mhaini, je kufungua kesi mahakamani ni uhaini?
Kwa mawazo yangu naona kuna watu wanampotoshwa Rais kwa faida zao binafsi.

Kuna hawa watu wanajiita chawa, hawa ndo watakao maliza Rais

1691921937200.png
 
Ngozi nyeusi haijawahi kuwa na akili hata siku Moja, huwa naomba wazungu waje tu watutawale basi
 
Hawa viongozi wanafikiri watabaki salama wakisha waondoa wale wanaodhani ni wapinzani wao,il a wakisha waondoa tu pia wao wataondoka.

1691926842529.png

Harming other people and self harm at the same time.​

 
Back
Top Bottom