Kudai Katiba Mpya alikofanya Mbowe ndiyo ambacho Rais Samia anakiita kuvunja sheria za nchi?

Sasa mfumo wa kukosoana umekuwepo nchini kwa ajili ya nini ?! Mitego au
Wazee wa michongo bambikizi wanajipanga tu, ila najua Mzee chuma na ni msimamia ukweli na haki, anathibitisha hakuwa jaji wa michongo enzi zake.
 
Wazee wa michongo bambikizi wanajipanga tu, ila najua Mzee chuma na ni msimamia ukweli na haki, anathibitisha hakuwa jaji wa michongo enzi zake.
Shida ya watu kama kina Warioba , Nyerere, Polepole, Lowasa, Sumaye etc. Wamekuja kuuona ubovu wa katiba wakiwa nje ya mfumo. Hivyo hata maoni yao ktk swala la katiba linakosa impact . Hawa walikuwa na nafasi ya kuishauri serikali wakiwa madarakani siyo baada ya kutoka au kutolewa. Kwani waliopo wanaufaidi ubovu wenyewe huu wa kimungumutu.
 
Ila angalao mmoja wao amekuwa na ujasiri na utayari wa kurekebisha mapungufu hayo, ila ccm michongo wamekuwa kikwazo🤔.
 
Hivi wewe hujaona namna muhimili wa Mahakama ulivyo Huru Kenya, ukilinganisha na TZ ambako muhimili huo unapata maelekezo ya namna ya kushughulikia masuala ya utoaji wa Haki nchini?
 
Analiwa timing tu, je ulisha muuliza kama anapata mafao yake kikamilifu🏃.
Warioba kama angekuwa hapati mafao yake sawa sawa angeshasema in public. Yule mzee hana roho ya kuweka vitu. All retired PM are well cared off:
Msuya Clepa
Sumaye Fredric
Salim Ahemd Salim
Warioba
WANAKULA WANASAZA
 
wote tumeshangaa
 
Tatizo ni kutojua matokeo ya sentensi: Mahojiano ya BBC yalionyesha kwamba mbowe ana makosa wakati mahakama haijathibitisha. Kwenye hotuba ya jana aliendelea kusema atasamehe, swali ni kwamba anasamehe kwa kosa gani wakati mahakama haijathibitisha kwamba kuna mtu ana kosa?
Kwa hiyo anayekataza kufanya makosa ya ki-katiba ndo anavunja sheria lakini haoni hilo kwa sababu anaona yuko juu ya sheria.
 
Viroboto, matapeli na wahuni wakifungua tu midomo yao wanajulikana.
 
Umesema vema, walimu ni muhimu sana kwani huwajenga watu ambao watajenga nchi. Ukikosea hapo unabomoa nchi. Wajenge madarasa lakini wasisahau walimu na ualimu.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Hivi wewe hujaona namna muhimili wa Mahakama ulivyo Huru Kenya, ukilinganisha na TZ ambako muhimili huo unapata maelekezo ya namna ya kushughulikia masuala ya utoaji wa Haki nchini?
Juzi kabla ya uamuzi mchongo bosi wake kubwa alipiga mkera kumsafishia njia mtoa uamuzi mchongo🏃.
 
UNAHAKIKA KENYA KATIBA MPYA HAIJA WASAIDIA?

MUNGU TUSAIDIE
Ime wasaidia nini nchi iko kwenye campaign mode muda wote. Ni kulaghai wazungu tu na kujiona bora
Hivi wewe hujaona namna muhimili wa Mahakama ulivyo Huru Kenya, ukilinganisha na TZ ambako muhimili huo unapata maelekezo ya namna ya kushughulikia masuala ya utoaji wa Haki nchini?
fatilia siasa za kenya hakuna chochote cha maajabu kilicho badilika
 
This time ataacha mambo ya katiba mpya, atakaa asubiri mamlaka itasema nn
 
Kitu usichokijua ni bora unyamaze tu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kuna haja ya 2025 tujitafakari kama Taifa ili tuweze kuwa na kiongozi wa kutupeleka mbele badala ya mipasho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…