GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
VIKOBA, Utitiri wa madeni vimeelezwa kuwa chanzo cha ugonjwa wa afya ya akili nchini, huku wanawake wakitajwa kuwa wahanga wakubwa.
Hayo yamesemwa na Daktari bingwa wa Magonjwa ya akili kutoka Hospitali ya Mirembe mkoani Dodoma, Suluma Aslan akizungumza na Waandishi wa Habari leo Agosti 3, 2022
-
Suluma amesema takwimu zilizofanywa na Hospitali ya Mirembe mwanzoni mwa mwezi Julai 2021 zimebaini Tanzania kuna wagonjwa 6,000 hadi 7,000 huku katika kila nane wawili wana ugonjwa wa afya ya akili.
-
“Utafiti tuliofanya Mirembe unaonyesha wanawake ni wahanga wakubwa wa magonjwa ya akili na hii inasababishwa na msogno wa mawazo kutokana na madeni makubwa na vikundi vya vikoba,”amesema Aslan.
-
Amesema tafiti hzo pia zimeonyesha wanawake wanapata zaidi Sonona kuliko wanaume na hiyo inachangiwa pia.
Taarifa: habarileo_tz
Kazi ipo......!!!