Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Daah salamu zenu wadau.
Kuna hili balaa la kudate na mademu wq vyuo vikuu ni kama kujipaka upupu wa hiari na kujilipua nq baruti ya moyo.
Hawa viumbe kwanza nadhani hata hamu au hisia hawana inaonekana hizi meseji za Tiktok zimewaharibu.
Videmu vina wanaume kwa uchache saana watatu ila kwao kawaida kwanzia watano hadi 15 kawaida sana.
Naachana na hii milipuko nimekoma dadadadeki.
Ni hayo tu
Wadiz a.k.a Baharia