Wanawake wengi ambao wapo 30+ na hawana ndoa ni hawa...
1.Walikataa kutumia mili yao for free lunch,so wakaonekana na misimamo ya hovyo...as per continet(Africa) is taken into consideration.. some men run away if unaleta misimamo, as they need to test in oder to budget...
So whoever maintain her standard will last alone!
2.Dini, misimamo ya kidini ya kifamilia imewafikisha watoto wao to 30+ kama mwanamke asipo amua kuchukua sheria mkononi tu, she will fed with no man.
Sababu hua inatokea mara nyingine mwanamke wa dini flani akaonekana na bahati ya kutakiwa kupendwa na jamii flani tofauti ya kidini...hii hupelekea rejection ya wazazi na hivyo mwanamke kukaa kusubiri bahati mpya....
3.Innocent girls,wanawake wenye tabia za kidhaifu za kupenda kiukwel,wakiwa na umri mdogo mfano 16 to 25....wanao ishi maisha ya kitamthiria kwenye dunia harisi huishia kuzalishwa na kupoteza masoko yao ya ndoa na ni hao wanatukanwa kila siku...
Kosa lao kubwa ni hili THEY TRUSTED THE WORDS OF LUSTY MEN...
MWISHO
Kwa watoto ambao wamepata familia za kuwaambia ukweli au pia kutoa uhuru wa haki ya kweli kwa watoto wao wajitanabaishe...kuwaokoa watoto wao!
Pia Mwanaume anayetaka kuoa binti yako huyo kama ana vigezo please dont put Religion on it...
Mpe mwanao nafasi aamue....for free..
Kama ukiendelea kukaza...30+ isn't far away!
Kibangubangu.....