Kudhani wanawake waliofikisha miaka 30 bila kuolewa ni wanawake ambao wamekosa soko ni upumbavu wa hali ya juu...!Njoo and listen to me Matured MAN!

Kudhani wanawake waliofikisha miaka 30 bila kuolewa ni wanawake ambao wamekosa soko ni upumbavu wa hali ya juu...!Njoo and listen to me Matured MAN!

based on realy situation and coincidence...Research ni utapeli bosi....

Hivi story ya research ya mtu kubakwa ni sawa na story ya mtu aliyebakwa....hahahha
Mkuu! Nimependa jina lako
Hiyo lugha unaijua?
 
Kama wewe ni Mwanaume utakuwa ni mpumbavu sana, tena ni Mjinga, mwanamke akipita 30 Hana mtoto na hajawahi Kuwa na mtoto, is already negative!

Mda mzuri wa mwanamke kuanza kuchukulia serious issue ya ndoa ni 25 na akipita 30 ajaolewa ni changamoto kubwa sana!

Hakuna mtu kakukataza kumuoa huyo Mbibi; ila usituvute kuku support kwenye ujinga wako! Mtu kaanza kulalwa ana miaka 16, ungoje tena 14 miningine atakuwa na ma X 120!
Ulieanza kumtongoza ndiye ulie muoa???Vipi yule ulie mtongoza mwanzo na ukamzalisha au kumla na kumkataa...utamlaumu akifika 30+ bila soko akiwa na mtoton rejected??
 
Mleta mada deep down akionjeshwa penzi na wa 30+
IMG_20250210_110220.jpg

Jamaa anatuuzia cheche hapa anataka yatukute yaliyompata kajaribuni muone!
 
Hivi mwanaume mleta mada unapoandika habari za wanawake huwa unajisikiaje? Una hormones za kike au sikuelewi kwa kweli

Una shida mahali sio bure
Namtetea dada aka na mama ako na shangazi yako...

Hata vyama vya haki za kutetea dada ako,au mama ako vina wanaume🤪🤪🤪
 
Uzi bora toka mwaka umeanza 😻😻
Tatizo kuna kunguni zinajua wanawake wanahusudu kufua viboksa vyao vilivyotoboka, kumbe tunawachora tu..!! 😹🤣🤣
Yani wewe lamony unaonekana ni tatizo kabisa yaani malezi mabaya uliyoyapata toka kwa wazazi wako yatapelekea ndoa uisikie kwa jirani zako tu au kama upo kwenye ndoa huyo uliyenae kapata hasara kubwa sn
 
Jifariji na endelea kuwafarijiH
Hapo ukiwa huna hela unatafuta kitoto cheap,hakijui mbele wala nyuma...

ukikizalisha kinakuja kutukanwa ukubwani...

Jiulize mazoezi yako unapo fanyia ndo utakapo oa???
 
Wanawake wengi ambao wapo 30+ na hawana ndoa ni hawa...

1.Walikataa kutumia mili yao for free lunch,so wakaonekana na misimamo ya hovyo...as per continet(Africa) is taken into consideration.. some men run away if unaleta misimamo, as they need to test in oder to budget...

So whoever maintain her standard will last alone!

2.Dini, misimamo ya kidini ya kifamilia imewafikisha watoto wao to 30+ kama mwanamke asipo amua kuchukua sheria mkononi tu, she will fed with no man.

Sababu hua inatokea mara nyingine mwanamke wa dini flani akaonekana na bahati ya kutakiwa kupendwa na jamii flani tofauti ya kidini...hii hupelekea rejection ya wazazi na hivyo mwanamke kukaa kusubiri bahati mpya....

3.Innocent girls,wanawake wenye tabia za kidhaifu za kupenda kiukwel,wakiwa na umri mdogo mfano 16 to 25....wanao ishi maisha ya kitamthiria kwenye dunia harisi huishia kuzalishwa na kupoteza masoko yao ya ndoa na ni hao wanatukanwa kila siku...

Kosa lao kubwa ni hili THEY TRUSTED THE WORDS OF LUSTY MEN...

MWISHO

Kwa watoto ambao wamepata familia za kuwaambia ukweli au pia kutoa uhuru wa haki ya kweli kwa watoto wao wajitanabaishe...kuwaokoa watoto wao!

Pia Mwanaume anayetaka kuoa binti yako huyo kama ana vigezo please dont put Religion on it...

Mpe mwanao nafasi aamue....for free..

Kama ukiendelea kukaza...30+ isn't far away!

Kibangubangu.....
Upumbavu hauna ujazo
 
Mzee Kibangubangu naunga mkono hoja yako ila kuna sababu muhimu hujasema... wengi wa hao wanawake wa 30+ enzi wakiwa kwenye 20s walikuwa wachaguzi sana na kuwakataa wanaume wengi waliokuwa serious. Mimi ni mhanga wa kukataliwa na wanawake kadhaa ambao kwa sasa wana krismasi chache kabla ya kugonga 40 bila ndoa. Kwa sasa wanahaha na kutamani siku zirudi nyuma wanikubalie. Kinachotokea kwa sasa hivi ni kuwa wanaume wengi wanapiga tu miti na kusepa bila kuwaoa. Kuoa mtu mwenye miaka 37 au zaidi inahitaji moyo kwa sababu sokoni kuna watoto wakali mno under 30 ambao pia wanaweza kukuzalia hata watoto watano tofauti na mwenye 35+.
 
Miaka 30 bado yuko sokoni kama hajatumika sasa , huku kwetu wanakuwa na miili midogo bado unaweza kushangaa ukiwa huyu ana miaka 30 .

Wanawake wanaokuwa na miili mikubwa wako Mbeya , Mtwara , Mwanza
Nadhani factor kubwa ni kujipenda.

Kina mabinti wapo 20's ila hawajijali au la hawana pesa kabisa. Na mbaya zaidi akijumlisha na maisha ya ujana na pombe kali. Anazeeka

Na kuna wanawake wapo 35 ila wanajipenda hivyo huwa na mvuto zaidi..

Ila yote, kama vichaa wanabebeshwa mimba siamini kama kuna mwanamke anaweza kukosa mtu unless ajiweke vibaya
 
Mzee Kibangubangu naunga mkono hoja yako ila kuna sababu muhimu hujasema... wengi wa hao wanawake wa 30+ enzi wakiwa kwenye 20s walikuwa wachaguzi sana na kuwakataa wanaume wengi waliokuwa serious. Mimi ni mhanga wa kukataliwa na wanawake kadhaa ambao kwa sasa wana krismasi chache kabla ya kugonga 40 bila ndoa. Kwa sasa wanahaha na kutamani siku zirudi nyuma wanikubalie. Kinachotokea kwa sasa hivi ni kuwa wanaume wengi wanapiga tu miti na kusepa bila kuwaoa. Kuoa mtu mwenye miaka 37 au zaidi inahitaji moyo kwa sababu sokoni kuna watoto wakali mno under 30 ambao pia wanaweza kukuzalia hata watoto watano tofauti na mwenye 35+.
Sasa mkuu unashavuka 40 watoto watano wa nini 😁😁

Na kingine naomba kueleweshwa. Kwa nini wanaume tukibagua wanawake iwe kwa tabia, kimaumbile ama kiufahamu. Inakuwa ni sawa ila kwa wanawake wakibagua inakuwa ni shida

Je kwa situation yako huoni walivyokukataa walikuokoa maana ni bora kwa sasa wanapambana na fate zap kuliko wewe ungepambana na hisia zao
 
Yani wewe lamony unaonekana ni tatizo kabisa yaani malezi mabaya uliyoyapata toka kwa wazazi wako yatapelekea ndoa uisikie kwa jirani zako tu au kama upo kwenye ndoa huyo uliyenae kapata hasara kubwa sn
Chipi tse di nyaka summer le skete

Skete sela sa di rough dance mahn

Cash kontant "huh". Trrrrrr phaa "huh"

Shandapha "huh" (Yey wena mahn!) 😹😹😹
 
Back
Top Bottom