kibangubangu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2018
- 272
- 353
- Thread starter
-
- #81
Unajua shida ipo wapi..niamini ni ile trust love...Ni mtoto wa mwsho kwao alinambia kaka zake wa namuona bado mtoto kuolewa kwahyo wazazi wamempeleka degree akasomee
Singo mather ajaye na baade wanaume wajuaji waanze kumsema na kumtengaπHuyu ana krismas chache kabla ya kutiwa mimba.
Ndio katoka diploma mwakajana kaunga degree wanakula p2 sana haoHuyu ana krismas chache kabla ya kutiwa mimba.
Unajua shida ipo wapi..niamini ni ile trust love...
vitu vya kusoma na location is just a matter of coincidance
Watoto hawa wanadondosha sana shilingi baharini....
Na muda ukitembea ndo wanajua ugumu gani kuipata hiyo hiyo shiringi chini ya bahari...hua wanadata sana
Ni makosa kwenye taratibu za ukuaji..na hapo hatuwezi mlaumu mtu...zaidi ya misingi ya yule ajuae ukweli ambaye ni Mzazi!
uuuuh nilkua nawaza hapa,coz next week natimiza 30 ,wacha niendelee kudunda.h
Haahahaπππuuuuh nilkua nawaza hapa,coz next week natimiza 30 ,wacha niendelee kudunda.
Tiyari wewe ni ajuzauuuuh nilkua nawaza hapa,coz next week natimiza 30 ,wacha niendelee kudunda.
Tiyari wewe ni ajuza
Mimi natimiza 36 mwaka huu lakini siwezi kukubali kukuoa maanaπ€£shock up zako zinaelekea ukingoniuuuuh nilkua nawaza hapa,coz next week natimiza 30 ,wacha niendelee kudunda.
Acha kupiga poyoyo we nyangumi tulia, omba Mungu akupe mume uache kugawa uroda kila kukicha.Wanawake wengi ambao wapo 30+ na hawana ndoa ni hawa...
1.Walikataa kutumia mili yao for free lunch,so wakaonekana na misimamo ya hovyo...as per continet(Africa) is taken into consideration.. some men run away if unaleta misimamo, as they need to test in oder to budget...
So whoever maintain her standard will last alone!
2.Dini, misimamo ya kidini ya kifamilia imewafikisha watoto wao to 30+ kama mwanamke asipo amua kuchukua sheria mkononi tu, she will fed with no man.
Sababu hua inatokea mara nyingine mwanamke wa dini flani akaonekana na bahati ya kutakiwa kupendwa na jamii flani tofauti ya kidini...hii hupelekea rejection ya wazazi na hivyo mwanamke kukaa kusubiri bahati mpya....
3.Innocent girls,wanawake wenye tabia za kidhaifu za kupenda kiukwel,wakiwa na umri mdogo mfano 16 to 25....wanao ishi maisha ya kitamthiria kwenye dunia harisi huishia kuzalishwa na kupoteza masoko yao ya ndoa na ni hao wanatukanwa kila siku...
Kosa lao kubwa ni hili THEY TRUSTED THE WORDS OF LUSTY MEN...
MWISHO
Kwa watoto ambao wamepata familia za kuwaambia ukweli au pia kutoa uhuru wa haki ya kweli kwa watoto wao wajitanabaishe...kuwaokoa watoto wao!
Pia Mwanaume anayetaka kuoa binti yako huyo kama ana vigezo please dont put Religion on it...
Mpe mwanao nafasi aamue....for free..
Kama ukiendelea kukaza...30+ isn't far away!
Kibangubangu.....
Happy birthday in ADVANCEuuuuh nilkua nawaza hapa,coz next week natimiza 30 ,wacha niendelee kudunda.
But in some stages nature can be invaded....right?πAcheni kujidanganya na hizi modern ideologies za feminism na 50/50, nature haizitambui izo ideologies. Miaka 30+ kwa mwanamke anakua tayari ameingia kwenye declining stage ya ubora wake.
Ufanisi wa kushika mimba unashuka, urembo wake wa asili unashuka anaanza kutegemea zaidi vipodozi
πππ...that prove the talk...I do love this ushuhuda!πππHapo number 1 na 2 umeniongelea mimi
Embu tuone mahali vitabu vimetaja...Kwa kijana..
Mwanamke nzuri wakuoa ni yule mwenye 18-29 bhn... acha ku2zuga. Ni 20s nzuri. We kijana unaoaje 30s ata kama n hzo sababu ukizotaja?. Ata vibabu vinahtaji hawa 20s. Kuanzia 30+ n full mshangazi...
Elezea hapa...tunataka kujua nani mwanzishaji tatizo?Usingle parent ni suala mtambuka.
Hatutakiwi kurushiana mpira, jinsia zote zina shida.