Kudhani wanawake waliofikisha miaka 30 bila kuolewa ni wanawake ambao wamekosa soko ni upumbavu wa hali ya juu...!Njoo and listen to me Matured MAN!

Kudhani wanawake waliofikisha miaka 30 bila kuolewa ni wanawake ambao wamekosa soko ni upumbavu wa hali ya juu...!Njoo and listen to me Matured MAN!

Ni mtoto wa mwsho kwao alinambia kaka zake wa namuona bado mtoto kuolewa kwahyo wazazi wamempeleka degree akasomee
Unajua shida ipo wapi..niamini ni ile trust love...

vitu vya kusoma na location is just a matter of coincidance

Watoto hawa wanadondosha sana shilingi baharini....

Na muda ukitembea ndo wanajua ugumu gani kuipata hiyo hiyo shiringi chini ya bahari...hua wanadata sana

Ni makosa kwenye taratibu za ukuaji..na hapo hatuwezi mlaumu mtu...zaidi ya misingi ya yule ajuae ukweli ambaye ni Mzazi!
 
Trust me single mother wengi chanzo chao ni wanaume walio wazidi akili za ukweli wa ulimwengu huubtunao ishi...

TRUST ME....

Kuna vitoto vilivamia huu ulimwengu...na kudhani wanazungumza lugha moja kumbe ni Hapanaaaa hapaaaaaqnaaaaa😄🤪
 
Sasa hapa mzazi akamwambia binti atleast afikishe 27🤣Sasa miaka 27 ni 2031 mimi hapo najitafuta 40++
Unajua shida ipo wapi..niamini ni ile trust love...

vitu vya kusoma na location is just a matter of coincidance

Watoto hawa wanadondosha sana shilingi baharini....

Na muda ukitembea ndo wanajua ugumu gani kuipata hiyo hiyo shiringi chini ya bahari...hua wanadata sana

Ni makosa kwenye taratibu za ukuaji..na hapo hatuwezi mlaumu mtu...zaidi ya misingi ya yule ajuae ukweli ambaye ni Mzazi!
 
uuuuh nilkua nawaza hapa,coz next week natimiza 30 ,wacha niendelee kudunda.
 
Kuna vitu mahakama zetu zq sheria...za ujanani na ufanganyifu au uhadaaa...wa ujana zina iachia asili..

So hili swala la uhadaa limeachwa kamaa jambo la asili...halijaingiliwa...na sheria

Hata yule boss wetu inawezekana alisha wahi ingiliwa na matapeli wa kiumekatika ujana wake...

Ila kwakua alijua mbinu zao alivuka salama...,🤪🤪🤪😄😄😄...
 
Hapo number 1 na 2 umeniongelea mimi
 
Wanawake wengi ambao wapo 30+ na hawana ndoa ni hawa...

1.Walikataa kutumia mili yao for free lunch,so wakaonekana na misimamo ya hovyo...as per continet(Africa) is taken into consideration.. some men run away if unaleta misimamo, as they need to test in oder to budget...

So whoever maintain her standard will last alone!

2.Dini, misimamo ya kidini ya kifamilia imewafikisha watoto wao to 30+ kama mwanamke asipo amua kuchukua sheria mkononi tu, she will fed with no man.

Sababu hua inatokea mara nyingine mwanamke wa dini flani akaonekana na bahati ya kutakiwa kupendwa na jamii flani tofauti ya kidini...hii hupelekea rejection ya wazazi na hivyo mwanamke kukaa kusubiri bahati mpya....

3.Innocent girls,wanawake wenye tabia za kidhaifu za kupenda kiukwel,wakiwa na umri mdogo mfano 16 to 25....wanao ishi maisha ya kitamthiria kwenye dunia harisi huishia kuzalishwa na kupoteza masoko yao ya ndoa na ni hao wanatukanwa kila siku...

Kosa lao kubwa ni hili THEY TRUSTED THE WORDS OF LUSTY MEN...

MWISHO

Kwa watoto ambao wamepata familia za kuwaambia ukweli au pia kutoa uhuru wa haki ya kweli kwa watoto wao wajitanabaishe...kuwaokoa watoto wao!

Pia Mwanaume anayetaka kuoa binti yako huyo kama ana vigezo please dont put Religion on it...

Mpe mwanao nafasi aamue....for free..

Kama ukiendelea kukaza...30+ isn't far away!

Kibangubangu.....
Acha kupiga poyoyo we nyangumi tulia, omba Mungu akupe mume uache kugawa uroda kila kukicha.
 
Acheni kujidanganya na hizi modern ideologies za feminism na 50/50, nature haizitambui izo ideologies. Miaka 30+ kwa mwanamke anakua tayari ameingia kwenye declining stage ya ubora wake.

Ufanisi wa kushika mimba unashuka, urembo wake wa asili unashuka anaanza kutegemea zaidi vipodozi
 
But in some stages nature can be invaded....right?😄
 
Kwa kijana..
Mwanamke nzuri wakuoa ni yule mwenye 18-29 bhn... acha ku2zuga. Ni 20s nzuri. We kijana unaoaje 30s ata kama n hzo sababu ukizotaja?. Ata vibabu vinahtaji hawa 20s. Kuanzia 30+ n full mshangazi...
 
Embu tuone mahali vitabu vimetaja...
 
Back
Top Bottom