Kudhani wanawake waliofikisha miaka 30 bila kuolewa ni wanawake ambao wamekosa soko ni upumbavu wa hali ya juu...!Njoo and listen to me Matured MAN!

kibangubangu

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2018
Posts
272
Reaction score
353
Wanawake wengi ambao wapo 30+ na hawana ndoa ni hawa...

1.Walikataa kutumia mili yao for free lunch,so wakaonekana na misimamo ya hovyo...as per continet(Africa) is taken into consideration.. some men run away if unaleta misimamo, as they need to test in oder to budget...

So whoever maintain her standard will last alone!

2.Dini, misimamo ya kidini ya kifamilia imewafikisha watoto wao to 30+ kama mwanamke asipo amua kuchukua sheria mkononi tu, she will fed with no man.

Sababu hua inatokea mara nyingine mwanamke wa dini flani akaonekana na bahati ya kutakiwa kupendwa na jamii flani tofauti ya kidini...hii hupelekea rejection ya wazazi na hivyo mwanamke kukaa kusubiri bahati mpya....

3.Innocent girls,wanawake wenye tabia za kidhaifu za kupenda kiukwel,wakiwa na umri mdogo mfano 16 to 25....wanao ishi maisha ya kitamthiria kwenye dunia harisi huishia kuzalishwa na kupoteza masoko yao ya ndoa na ni hao wanatukanwa kila siku...

Kosa lao kubwa ni hili THEY TRUSTED THE WORDS OF LUSTY MEN...

MWISHO

Kwa watoto ambao wamepata familia za kuwaambia ukweli au pia kutoa uhuru wa haki ya kweli kwa watoto wao wajitanabaishe...kuwaokoa watoto wao!

Pia Mwanaume anayetaka kuoa binti yako huyo kama ana vigezo please dont put Religion on it...

Mpe mwanao nafasi aamue....for free..

Kama ukiendelea kukaza...30+ isn't far away!

Kibangubangu.....
 
Ni mawazo yako haya au based on research? Presentation yako ipo so poor mantiki ni ya kutafuta sana kama vile umetoa homework kwa wanafunzi for discussion
 
based on realy situation and coincidence...Research ni utapeli bosi....

Hivi story ya research ya mtu kubakwa ni sawa na story ya mtu aliyebakwa....hahahha
 
Kwenu
 
Attachments

  • SGN_02_10_2025_1739170709886.png
    SGN_02_10_2025_1739170709886.png
    1.4 MB · Views: 2
based on realy situation and coincidence...Research ni utapeli bosi....

Hivi story ya research ya mtu kubakwa ni sawa na story ya mtu aliyebakwa....hahahha
Just intuition, basi sawa! Unawajua wangapi waliopitia hayo kujustify mtazamo wako?
 
Kwa mwanamke 35+ kupata mwanaume wa kumuoa ambaye hajawahi kuwa na mtoto ama serious relationship ni ngumu sana sana ila Sijawahi ona mwanamke 30+ kakosa mwanaume wa kumtongoza. Kwa hiyo huko kukosa soko nadhani napaona ni imaginary

Kama wanawake wanaolewa wakiwa 50+ na wana watoto na wajukuu. Itakuwa 30+

Watu waache kuwapa presha za kuzaa na kuolewa ilhali wakiwa single mother bado watasimangwa wao na watoto wao especially wa kiume
 
Wanawake wengi ambao wapo 30+ na hawana ndoa ni hawa...

1.Walikataa kutumia mili yao for free lunch,so wakaonekana na misimamo ya hovyo...as per continet(Africa) is taken into consideration.. some men run away if unaleta misimamo, as they need to test in oder to budget...

So whoever maintain her standard will last alone!

2.Dini, misimamo ya kidini ya kifamilia imewafikisha watoto wao to 30+ kama mwanamke asipo amua kuchukua sheria mkononi tu, she will fed with no man.

Sababu hua inatokea mara nyingine mwanamke wa dini flani akaonekana na bahati ya kutakiwa kupendwa na jamii flani tofauti ya kidini...hii hupelekea rejection ya wazazi na hivyo mwanamke kukaa kusubiri bahati mpya....

3.Innocent girls,wanawake wenye tabia za kidhaifu za kupenda kiukwel,wakiwa na umri mdogo mfano 16 to 25....wanao ishi maisha ya kitamthiria kwenye dunia harisi huishia kuzalishwa na kupoteza masoko yao ya ndoa na ni hao wanatukanwa kila siku...

Kosa lao kubwa ni hili THEY TRUSTED THE WORDS OF LUSTY MEN...

MWISHO

Kwa watoto ambao wamepata familia za kuwaambia ukweli au pia kutoa uhuru wa haki ya kweli kwa watoto wao wajitanabaishe...kuwaokoa watoto wao!

Pia Mwanaume anayetaka kuoa binti yako huyo kama ana vigezo please dont put Religion on it...

Mpe mwanao nafasi aamue....for free..

Kama ukiendelea kukaza...30+ isn't far away!

Kibangubangu.....
Hongera sana Mkuu umenena vilivyo, mwenye masikio na asikie, mwenye kutazama na aone
 
Kwa mwanamke 35+ kupata mwanaume wa kumuoa ambaye hajawahi kuwa na mtoto ama serious relationship ni ngumu sana sana ila Sijawahi ona mwanamke 30+ kakosa mwanaume wa kumtongoza. Kwa hiyo huko kukosa soko nadhani napaona ni imaginary

Kama wanawake wanaolewa wakiwa 50+ na wana watoto na wajukuu. Itakuwa 30+

Watu waache kuwapa presha za kuzaa na kuolewa ilhali wakiwa single mother bado watasimangwa wao na watoto wao especially wa kiume
Miaka 30 bado yuko sokoni kama hajatumika sasa , huku kwetu wanakuwa na miili midogo bado unaweza kushangaa ukiwa huyu ana miaka 30 .

Wanawake wanaokuwa na miili mikubwa wako Mbeya , Mtwara , Mwanza
 
Back
Top Bottom