HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Nkuruma,Lumumba,Magufuli,Sankara,Gadafi,Machel,Biko,Malangu,nk wamekufa kwa kuamini kuwa Mungu wa warabu na wazungu anawalinda.
Kiukweli wazungu na warabu waliwapotosha Mababu na Mabibi zetu kwa kuwaaminisha kuwa Mungu wao wa Kikristo na Kiislam ananguvu zaidi ya Mungu wao wa Asili wa Afrika kiasi cha kisahau mila na desturi zao ambazo ndiyo kinga kubwa kwao.
Kupitia dini za uislam na ukristo viongozi wetu bora wamekuwa wakiuwawa kwa kumtegemea Mungu wa Yesu na Muhamad na baadae kufubaza nguvu za kinga za asili kwao hivyo kuuwawa kirahisi kwa kusalitiwa kiasi kwa kuwekewa sumu au kupigwa risasi kwani hawaoneshwi ishara za hatari wanapowindwa ili kuchukua tahadhari.
Mungu wa kweli wa Waafrika ndiyo pekee anayeweza kuwalinda viongozi wetu bora na siyo mombi ktk uislam na ukristo.
Sasa viongozi wetu wa Waafrika wanapaswa kutambua kuwa kinga ya kweli kwao ni MILA na AASILI yao kupitia maombi,matambiko na mazindiko ya jadi na siyo biblia,quruan,yesu wala muhamadi kwani wamedhihirisha kushindwa ktk kuwalinda viongozi wetu.
Wamekuwa wakiapa kwa katiba,biblia na quruan zisizo na nguvu na bado wabaya wao wanawaua kirahisi tu.
Kwa kupitia maombi,viapo na matambiko ya mila za Kiafrika viongozi wetu wanaweza kusalimika.
Naimani Traole wa Burkina Faso ameweza kupona na kuwa hai kwa kuamini zaidi katika Mungu wa Watu wote wa Afrika ambaye ameweza kushinda katika majaribio mengi ya kumuua ikiwemo kuokolewa na ishara za ng'ombe,punda,kunguru,vichaa,nk.
Kwa kumtegemea Mungu wa wazungu na warabu kupitia Quruan/Muhamd na Biblia/Yesu Waafrika tutabaki nyuma siku zote kwa viongozi wetu shupavu kuuwawa tukiangalia tu wakati MUNGU WETU WA AFRIKA kupitia ,MAOMBI,MATAMBIKO,KINGA,NK tunaweza kushinda.
Wazungu na warabu wametuaminisha Mungu wa uongo ambaye hana kinga kwetu na sisi kuwaacha MIUNGU WERU wa MUNGU wa wote na wao kuendelea kuamini katika mingu wao wa ukweli ambao hawataki sisi Waafrika tuwajue
WAKEUP AFRIKA!!