[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwafrika aliyetoka kulima mahindi akala ugali,maharage na kisamvu..ukute anavuta na tumbaku utadhani harufu ya kimba lake utalikata na shombo ya samaki?!
Hili shombo la samaki sijui lina siri gani lakini maji up niliona watu wanatumiaMajivu tulikuwa tunatumwa hadi shule za msingi.
Hiyo ya kuweka shombo ya samaki ndani ya shombo ya binadamu ni hatari. Bibi ananichanganya sio siri.
Bibi angezaliwa us angekuwa mwanasayansi maarufu wa kike dunianiHili shombo la samaki sijui Luna siri gani lakini maji up niliona watu wanatumia
Mkuu ndugu.Dawa ya harufu ya choo ni shombo ya samaki.
Ndio kitu unachotaka kusema au?
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Nitake radhi haraka sanaaaUnajicho
My umeanzisha uzi mtamu hivi halafu hata kuni tag ...... ila naamini hiki choo anatumia bibi kule home sio kile unachotumia wewe si ndio ??Hii njia milifundishwa na bibi yangu na kwakweli ilifanikiwa kudhibiti harufu na tuliweza kuweka mkeka uani na kupiga story.
Ukinunua samaki wa bichi ukishawasafisha matumbo na mshamba na uchafu wote mwagia chooni ni papo kwa hapo harufu Keisha.