Kudhibiti harufu kwenye choo cha shimo

Kudhibiti harufu kwenye choo cha shimo

Mwafrika aliyetoka kulima mahindi akala ugali,maharage na kisamvu..ukute anavuta na tumbaku utadhani harufu ya kimba lake utalikata na shombo ya samaki?!
 
Mwafrika aliyetoka kulima mahindi akala ugali,maharage na kisamvu..ukute anavuta na tumbaku utadhani harufu ya kimba lake utalikata na shombo ya samaki?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
 
Majivu tulikuwa tunatumwa hadi shule za msingi.
Hiyo ya kuweka shombo ya samaki ndani ya shombo ya binadamu ni hatari. Bibi ananichanganya sio siri.
 
Hii njia milifundishwa na bibi yangu na kwakweli ilifanikiwa kudhibiti harufu na tuliweza kuweka mkeka uani na kupiga story.

Ukinunua samaki wa bichi ukishawasafisha matumbo na mshamba na uchafu wote mwagia chooni ni papo kwa hapo harufu Keisha.
My umeanzisha uzi mtamu hivi halafu hata kuni tag ...... ila naamini hiki choo anatumia bibi kule home sio kile unachotumia wewe si ndio ??
 
Back
Top Bottom