Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Hii njia milifundishwa na bibi yangu na kwakweli ilifanikiwa kudhibiti harufu na tuliweza kuweka mkeka uani na kupiga story.
Ukinunua samaki wa bichi ukishawasafisha matumbo na mshamba na uchafu wote mwagia chooni ni papo kwa hapo harufu Keisha.
Ukinunua samaki wa bichi ukishawasafisha matumbo na mshamba na uchafu wote mwagia chooni ni papo kwa hapo harufu Keisha.