Lissu wanamtumia tu ndio maana kapigwa break kuwa nafasi yoyote ile ambayo mzee mbowe atakuwa anaitaka au anayo ndani ya chama yeye Lissu hatuhusiwi kuomba nafasi husika na ilithibitishwa na kilaza Lema cheki kwenye you tube utaona.Kwa lissu sio msomi ?
Duu.hivi Mbatia yupo kweli?sijamsikia siku nyingi aisee πππππKabla CCM na CHADEMA kwa maslahi ya wachache kuwadhohofisha kina Zitto Kabwe, Dkt. Slaa, Mbatia na wale wabunge 19 tulikuwa na upinzani wenye nguvu sana na hoja nzito.
Tulikuwa na list of Shame, hoja za majimbo, Tume huru, Katiba Mpya ya serikali tatu na hoja nyingine nzito sana.
Sasa hivi tunasubiri CCM na Rais Samia wanataka au wanasema nini inasikitisha sana, nadhani upinzani tujitafakari, tofauti ziwekwe pembeni.
Wewe usomi wako unakusaidia nini na wakati ni masikini wa kutupwa? mjinga wewe siku ukifa unadhani wanao watarithi vyeti?Sio kweli wasiokuwa wasomi ndani ya chama (Mbowe,Lema,Sugu,Mdude ) hawataki wasomi hata kidogo.
Lissu ni msomi mzuri saana ila mdomo wake umekosa nidhamu (anaropoka saana) .Kwa lissu sio msomi ?
La haula ,hutaki tuseme ukweli mchungu mzee,chama hakitaki wasomi ndio maana hakuna msomi aliebaki salama ndani ya chadema zaidi ya Lissu ambae nae amepewa mipakaWewe usomi wako unakusaidia nini na wakati ni masikini wa kutupwa? mjinga wewe siku ukifa unadhani wanao watarithi vyeti?
Anzisha chama wewe na mumeo muweke wasomiLa haula ,hutaki tuseme ukweli mchungu mzee,chama hakitaki wasomi ndio maana hakuna msomi aliebaki salama ndani ya chadema zaidi ya Lissu ambae nae amepewa mipaka
Kwa kuwa mnakusanya michango kwa watanzani wote ni lazima tuhoji kwa kiwango kikubwa tu ,kama hamtaki tuoji sababu ya chama kuongozwa na vilaza basi hamstahili kuitwa chama cha siasa na angalizo la Msigwa kuwa hii ni SACCOS linazidi kujitokeza Mangi OKOAnzisha chama wewe na mumeo muweke wasomi
Afande sele anakwambia "Ukipotea kwetu furaha ,adui? Muombee njaa ,atanyoosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa"Kabla CCM na CHADEMA kwa maslahi ya wachache kuwadhohofisha kina Zitto Kabwe, Dkt. Slaa, Mbatia na wale wabunge 19 tulikuwa na upinzani wenye nguvu sana na hoja nzito.
Tulikuwa na list of Shame, hoja za majimbo, Tume huru, Katiba Mpya ya serikali tatu na hoja nyingine nzito sana.
Sasa hivi tunasubiri CCM na Rais Samia wanataka au wanasema nini inasikitisha sana, nadhani upinzani tujitafakari, tofauti ziwekwe pembeni.
Zitto analamba Asali kwa sasa Rais muislam na zitto ni extremist anakula maishaKabla CCM na CHADEMA kwa maslahi ya wachache kuwadhohofisha kina Zitto Kabwe, Dkt. Slaa, Mbatia na wale wabunge 19 tulikuwa na upinzani wenye nguvu sana na hoja nzito.
Tulikuwa na list of Shame, hoja za majimbo, Tume huru, Katiba Mpya ya serikali tatu na hoja nyingine nzito sana.
Sasa hivi tunasubiri CCM na Rais Samia wanataka au wanasema nini inasikitisha sana, nadhani upinzani tujitafakari, tofauti ziwekwe pembeni.
Pointless topic. Btw umemruka Mch. Msigwa. Au yeye bado ana afya?Kabla CCM na CHADEMA kwa maslahi ya wachache kuwadhohofisha kina Zitto Kabwe, Dkt. Slaa, Mbatia na wale wabunge 19 tulikuwa na upinzani wenye nguvu sana na hoja nzito.
Tulikuwa na list of Shame, hoja za majimbo, Tume huru, Katiba Mpya ya serikali tatu na hoja nyingine nzito sana.
Sasa hivi tunasubiri CCM na Rais Samia wanataka au wanasema nini inasikitisha sana, nadhani upinzani tujitafakari, tofauti ziwekwe pembeni.
Upinzani umeimarika zaidi baada ya mapindikizi kutambulikaKabla CCM na CHADEMA kwa maslahi ya wachache kuwadhohofisha kina Zitto Kabwe, Dkt. Slaa, Mbatia na wale wabunge 19 tulikuwa na upinzani wenye nguvu sana na hoja nzito.
Tulikuwa na list of Shame, hoja za majimbo, Tume huru, Katiba Mpya ya serikali tatu na hoja nyingine nzito sana.
Sasa hivi tunasubiri CCM na Rais Samia wanataka au wanasema nini inasikitisha sana, nadhani upinzani tujitafakari, tofauti ziwekwe pembeni.
Bahati mbaya sana alizungukwa na vilaza hadi wakahakikisha wamemtimua aisee πββοΈπββοΈila Dr. Slaa daah, will be remembered as the most effective opposition politician ever!
Slaa alizungukwa na vilaza na ndio maana walimtimuaSina uhakika kwamba Slaa ni dhaifu...
WoteeLucas Mwashambwa peke yake ni sawa na cdm wangapi?