Kudhoofishwa kwa Dkt. Slaa, Mbatia, Zitto Kabwe, Kafulila na wakina Mdee kumedhoofisha sana upinzani

Kwa lissu sio msomi ?
Lissu wanamtumia tu ndio maana kapigwa break kuwa nafasi yoyote ile ambayo mzee mbowe atakuwa anaitaka au anayo ndani ya chama yeye Lissu hatuhusiwi kuomba nafasi husika na ilithibitishwa na kilaza Lema cheki kwenye you tube utaona.
 
Binadamu anapambana ili kupata mahitaji yake muhimu. "Kupambana" Hapa atafanya whatever it takes ili ajihakikishie uhakika wa maisha na mahitaji yake.

Ikitokea ameahidiwa kupata uhakika wa mahitaji yake basi he/she'll do anything bila kuangalia athari atakazo leta kwa watu wengine(selfishness).

Ukija kuangalia Dunia nzima utaona haya maisha ni meaningless.

Vita kila kukicha, watu wanauawa, sheria zinapindishwa kwa makusudi, Wale wanao tangaza Democracy ndio hao wanao vunja hiyo democracy na human rights.

Hii yote ni kutokana na ubinafsi ambao binadamu anao naturally.

Life is not fair na usije kujidanganya kama Mungu atawaadhibu hawa watu kwasababu Dunia ndio ipo hivyo.

Ukiwa mnyonge utaonewa tu na hakuna kitu ambacho Mungu unae muanini atafanya coz He created this world in that way.

Maana yangu usije tegemea binadamu mwenzio akakutetea kwa jambo lolote lile na kama ikitokea basi ni kwa maslahi yake yeye mwenyewe ila wewe utakuwa ni mgongo tu wa yeye kupitia.

Nobody cares, welcome to the world.
 
Kabla CCM na CHADEMA kwa maslahi ya wachache kuwadhohofisha kina Zitto Kabwe, Dkt. Slaa, Mbatia na wale wabunge 19 tulikuwa na upinzani wenye nguvu sana na hoja nzito.

Tulikuwa na list of Shame, hoja za majimbo, Tume huru, Katiba Mpya ya serikali tatu na hoja nyingine nzito sana.

Sasa hivi tunasubiri CCM na Rais Samia wanataka au wanasema nini inasikitisha sana, nadhani upinzani tujitafakari, tofauti ziwekwe pembeni.
Duu.hivi Mbatia yupo kweli?sijamsikia siku nyingi aisee 😂😂😂😂😂
 
Wewe usomi wako unakusaidia nini na wakati ni masikini wa kutupwa? mjinga wewe siku ukifa unadhani wanao watarithi vyeti?
La haula ,hutaki tuseme ukweli mchungu mzee,chama hakitaki wasomi ndio maana hakuna msomi aliebaki salama ndani ya chadema zaidi ya Lissu ambae nae amepewa mipaka
 
Anzisha chama wewe na mumeo muweke wasomi
Kwa kuwa mnakusanya michango kwa watanzani wote ni lazima tuhoji kwa kiwango kikubwa tu ,kama hamtaki tuoji sababu ya chama kuongozwa na vilaza basi hamstahili kuitwa chama cha siasa na angalizo la Msigwa kuwa hii ni SACCOS linazidi kujitokeza Mangi OKO
 
Kabla CCM na CHADEMA kwa maslahi ya wachache kuwadhohofisha kina Zitto Kabwe, Dkt. Slaa, Mbatia na wale wabunge 19 tulikuwa na upinzani wenye nguvu sana na hoja nzito.

Tulikuwa na list of Shame, hoja za majimbo, Tume huru, Katiba Mpya ya serikali tatu na hoja nyingine nzito sana.

Sasa hivi tunasubiri CCM na Rais Samia wanataka au wanasema nini inasikitisha sana, nadhani upinzani tujitafakari, tofauti ziwekwe pembeni.
Afande sele anakwambia "Ukipotea kwetu furaha ,adui? Muombee njaa ,atanyoosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa"

Hao Njaa imewapoteza ,wamekubali kununuliwa kwa vipande thalatha vya fedha.
 
Kabla CCM na CHADEMA kwa maslahi ya wachache kuwadhohofisha kina Zitto Kabwe, Dkt. Slaa, Mbatia na wale wabunge 19 tulikuwa na upinzani wenye nguvu sana na hoja nzito.

Tulikuwa na list of Shame, hoja za majimbo, Tume huru, Katiba Mpya ya serikali tatu na hoja nyingine nzito sana.

Sasa hivi tunasubiri CCM na Rais Samia wanataka au wanasema nini inasikitisha sana, nadhani upinzani tujitafakari, tofauti ziwekwe pembeni.
Zitto analamba Asali kwa sasa Rais muislam na zitto ni extremist anakula maisha
 
Kabla CCM na CHADEMA kwa maslahi ya wachache kuwadhohofisha kina Zitto Kabwe, Dkt. Slaa, Mbatia na wale wabunge 19 tulikuwa na upinzani wenye nguvu sana na hoja nzito.

Tulikuwa na list of Shame, hoja za majimbo, Tume huru, Katiba Mpya ya serikali tatu na hoja nyingine nzito sana.

Sasa hivi tunasubiri CCM na Rais Samia wanataka au wanasema nini inasikitisha sana, nadhani upinzani tujitafakari, tofauti ziwekwe pembeni.
Pointless topic. Btw umemruka Mch. Msigwa. Au yeye bado ana afya?
 
Nyerere ndiye aliepigania Taifa na masilahi yake
Hawa wengine wanapigania masilahi yao.
 
Kabla CCM na CHADEMA kwa maslahi ya wachache kuwadhohofisha kina Zitto Kabwe, Dkt. Slaa, Mbatia na wale wabunge 19 tulikuwa na upinzani wenye nguvu sana na hoja nzito.

Tulikuwa na list of Shame, hoja za majimbo, Tume huru, Katiba Mpya ya serikali tatu na hoja nyingine nzito sana.

Sasa hivi tunasubiri CCM na Rais Samia wanataka au wanasema nini inasikitisha sana, nadhani upinzani tujitafakari, tofauti ziwekwe pembeni.
Upinzani umeimarika zaidi baada ya mapindikizi kutambulika
 
ila Dr. Slaa daah, will be remembered as the most effective opposition politician ever!
 
Wala sio kudhohofishwa mkuu ukiangalia kwa makini mtu kama Kafulila ni mzalendo kwa namna yeyote asingefiti kwa huu upizani uliopo hivi sasa.
 
Back
Top Bottom