Kudhoofishwa kwa Dkt. Slaa, Mbatia, Zitto Kabwe, Kafulila na wakina Mdee kumedhoofisha sana upinzani

Kabla CCM na CHADEMA kwa maslahi ya wachache kuwadhohofisha kina Zitto Kabwe, Dkt. Slaa, Mbatia na wale wabunge 19 tulikuwa na upinzani wenye nguvu sana na hoja nzito.

Tulikuwa na list of Shame, hoja za majimbo, Tume huru, Katiba Mpya ya serikali tatu na hoja nyingine nzito sana.

Sasa hivi tunasubiri CCM na Rais Samia wanataka au wanasema nini inasikitisha sana, nadhani upinzani tujitafakari, tofauti ziwekwe pembeni.
Hakuna mkamilifu, pamoja na mazuri mengi ambayo yamebaki kama kumbukumbu ya kudumu ya hayati magufuli bado kuna mambo ambayo alikosea sana. Mojawapo ya mambo ambayo hayati magufuli alikosea na linatugarimu ni kuua upinzani.

Ingawa alifanya hivo kutokana na tabia yao ya kinafiki ya kupinga kila jambo hata kama lina maslahi kwa taifa letu wao walikazana kupinga kwa nguvu zao zote.

Kwa sasa wapinzani ni kama wanajitafta upya. Ni vema kama wakishajipata ni vema wajitafakari aina ya upinzani walionao na sera yao kisha waangalie wafanye nini ili wakubalike kwa walio wengi.

Kwa sasa wapinzani wanakubalika kutokana na makosa mengi ya samia. Je kama samia angeongoza taifa kwa haki bila kuruhusu upigaji n.k unadhan wapinzani wangekuja na sera zipi kwa wananchi mpaka wakubalike? Ni lazima viongozi wetu watafakari na wajipange upya na kufanya mabadiliko makubwa ya kiuongozi na kisela.
Waje na mbinu mbadala watapata uungwaji mkono mkubwa kutoka kwa wananchi.
 
Unajua Jiwe alikuwa anachukua watu anaoona wazuri na watamsaidia huwezi mlaumu .
 
Kabla CCM na CHADEMA kwa maslahi ya wachache kuwadhohofisha kina Zitto Kabwe, Dkt. Slaa, Mbatia na wale wabunge 19 tulikuwa na upinzani wenye nguvu sana na hoja nzito.

Tulikuwa na list of Shame, hoja za majimbo, Tume huru, Katiba Mpya ya serikali tatu na hoja nyingine nzito sana.

Sasa hivi tunasubiri CCM na Rais Samia wanataka au wanasema nini inasikitisha sana, nadhani upinzani tujitafakari, tofauti ziwekwe pembeni.
Mnapimaje upinzani umedhoofika katika mazingira haya ambayo hayako fair? Ungekua upinzani dhaifu basi tusingeona wanafunzi wakiandikishwa under age, tusingeona mazuio ya mikutano tusingeona kupotea au kuuwawa kwa viongozi specifically CDM, Zitto yupo anaendelea na siasa zake kina Mdee wapo bungeni wanaendelea na majukumu yao kama washirika hao uliowataja waliamua kuchagua nakujipambanua kua wao wapo kwa maslahi ya nani, Upinzani naona una nguvu sana na ushawishi mkubwa ndik mana hofu yakukabiliana nao nangharama zimekua kubwa sana
 
Kwani anae walinda bungeni kina mdee si ni CDM au ?
 
Kabla CCM na CHADEMA kwa maslahi ya wachache kuwadhohofisha kina Zitto Kabwe, Dkt. Slaa, Mbatia na wale wabunge 19 tulikuwa na upinzani wenye nguvu sana na hoja nzito.

Tulikuwa na list of Shame, hoja za majimbo, Tume huru, Katiba Mpya ya serikali tatu na hoja nyingine nzito sana.

Sasa hivi tunasubiri CCM na Rais Samia wanataka au wanasema nini inasikitisha sana, nadhani upinzani tujitafakari, tofauti ziwekwe pembeni.
Sijaelewa CCM wameingiaje hapo

Zito Kabwe alifukuzwa CDM na CDM wenyewe

Dk Slaa alipikonywa tiketi yake ya kugombea uraisi na CDM wenyewe na kupewa Luwasa

Hao wabunge 19 wamefutwa uanachama na CDM wenyewe

Labda kama CCM mwenyewe ni Mbowe
 
Kabla CCM na CHADEMA kwa maslahi ya wachache kuwadhohofisha kina Zitto Kabwe, Dkt. Slaa, Mbatia na wale wabunge 19 tulikuwa na upinzani wenye nguvu sana na hoja nzito.

Tulikuwa na list of Shame, hoja za majimbo, Tume huru, Katiba Mpya ya serikali tatu na hoja nyingine nzito sana.

Sasa hivi tunasubiri CCM na Rais Samia wanataka au wanasema nini inasikitisha sana, nadhani upinzani tujitafakari, tofauti ziwekwe pembeni.
Hao wote kwa tamaa zao walikataa upinzani wakaenda CCM au kukubali hila za CCM

Nonetheless watapatikana wengine,its the matter of time.

Huwezi pangia mtu na moyo wake na uaminifu wake...such a tragedy!
 
Unajua Jiwe alikuwa anachukua watu anaoona wazuri na watamsaidia huwezi mlaumu .
kwa hilo simlaumu ila kwa kuifanya nchi kuwa ya chama kimoja namlaumu. Aliubana sana upinzani. Ni sawa kwa wakati ule alikuwa sahihi maana alikuwa anafanya miradi mikubwa ya maendeleo na wapinzani wakawa wanampinga mpaka akawaambia maendeleo hayana chama. Tatizo ni kwamba hakufikiri kuwa ikitokea akaingia asieleta maendeleo kwa taifa nani atakuwa mtetezi wa wananchi zaidi ya wapinzani? Kumbuka hata yeye hakuongoza kama wanaccm tuliowazoea alitumia baadhi ya sela za upinzan mfano elimu bure nk. Kwa iyo kuminya demokrasia na kuifanya tanzania karibu kuwa ya chama kimoja lilikuwa kosa kubwa linalotugarimu kama taifa. Lakini pia wainzani waangalie aina ya upinzani wanaofanya sio kupinga kila kitu kiwe chema au kibaya wametugarimu sana kama taifa.
 
Hakika
 
Back
Top Bottom