Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu !!! Ccm kuwatapeli vyama vingine huwa wanaona raha lkn Samia kawatapeli sasa wanahaha mpaka wanatamani kutoana roho.
Haya machungu ya kina Polepole wanadhani wapinzani huwa wanatania!!? Kila mara kuiba kura ,kuwaua na kuwazuia kufanya siasa na wakiongea wanadhihakiwa .
Wamekutana na SAMIA kawatapeli kwa kujichagua kuwa mgombea sasa wanataka tulie wote.
Nimemsikia Butiku leo kipindi cha dakika 45 alipohojiwa kuhusu kanuni kuvunjwa na kumpitisha samia kihuni ameonesha hasira na kusema haikubaliki hata kidogo lakini kwa unafiki alipohojiwa kuhusu kufanyika kwa mabadiliko kabla ya uchaguzi mkuu akasema twende hivohivo na sheria zitarekebishwa baada ya uchaguzi aisee SAMIA wakazie ili wajue wapinzani nao wanajiskika vibaya kuhujumiwa ,,gombea hivohivo hata kama ulipitishwa kimagumashi ili wajue kwamba ipo uharamia dhidi ya uchaguzi si jambo jema.
Nilikuwa nataka kushawishika na kelele za akina polepole kumbe lengo lao mambo yao yakiwa mazuri ndani ya CCM basi huungana kuwahujumu wapinzani tena kwa kwa dharau na kejeli.