Kudondoka bafuni na mapafu kujaa damu je inawezekana, inaweza ikatokea na badae mtu kupoteza maisha

Kudondoka bafuni na mapafu kujaa damu je inawezekana, inaweza ikatokea na badae mtu kupoteza maisha

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Mtu akidondoka bafuni kumpeleka hospitali mapafu yanajaa damu je inawezekana, ni kweli badae akienda hospitali anafariki. Hii hutokea au ni nadra sana.
 
Kudondoka bafuni ilikuwa mwanzo

Baadae wakamfanyia heart surgery

Hiyi surgery ndo imeleta shida zingine
Mtu akidondoka bafuni kumpeleka hospitali mapafu yanajaa damu je inawezekana, ni kweli badae akienda hospitali anafariki. Hii hutokea au ni nadra sana.
 
Mbona kuna mtu aliripotiwa na mkewe kuwa mapafu yalijaa damu na alikuwa kwenye hospitali yenye hadhi ya juu ila imeshindikana na amepoteza maisha huenda hawakufanya kama unavyoeleza eti
Chris mapafu yakijaa damu huwa wanawekewa cathetre ina drain damu taratibu, kama ni pulmonafy oedema.
 
Kudondoka bafuni ilikuwa mwanzo

Baadae wakamfanyia heart surgery

Hiyi surgery ndo imeleta shida zingine
Kwa muda wa siku ngapi tukio hilo lilifanyika au walifanya yote kwa pamoja
 
Mbona kuna mtu aliripotiwa na mkewe kuwa mapafu yalijaa damu na alikuwa kwenye hospitali yenye hadhi ya juu ila imeshindikana na amepoteza maisha huenda hawakufanya kama unavyoeleza eti
Hiyo case iko complicated, mgonjwa alikuwa na surgery mpya ya peacemaker na akaanguka, kwahiyo damu iliingia kwenye respiratory organs si kuwa ilikuwa accumulated kwakuwa moyo ulishindwa kusukuma.
 
Hiyo case iko complicated, mgonjwa alikuwa na surgery mpya ya peacemaker na akaanguka, kwahiyo damu iliingia kwenye respiratory system si kuwa ilikuwa accumulated kwakuwa moyo ulishindwa kusukuma.
Sielewi nisaidie surgery ya peacemaker hii huwa ikoje au inafanyiwa eneo lipi la mwili
 
Sielewi nisaidie surgery ya peacemaker hii huwa ikoje au inafanyiwa eneo lipi la mwili
Peacemaker inawekwa kwenye moyo kama moyo unashindwa ku genarate electronic pulse za kutosha kusukuma damu.
 
Pacemaker al maarufu kama betri la moyo ni kifaa kinacho pandikizwa kwenye moyo kuusaidia mfumowa umeme wa moyo kuwa stable as u know under normal condition moyo hauchukui impulse (umeme)kutoka kwa mfumo wa kati wa fahamu (myogenic nature of the heart) kifaa hiki hupandikizwa kwa watu waliopata cardiac arrest mean moyo unashindwa kuamka kutokana na kukosa self electricity either kutokana na umri mkubwa au ,congenital heart defects ,
 
Back
Top Bottom