Kudondoka bafuni na mapafu kujaa damu je inawezekana, inaweza ikatokea na badae mtu kupoteza maisha

Kudondoka bafuni na mapafu kujaa damu je inawezekana, inaweza ikatokea na badae mtu kupoteza maisha

Chris mapafu yakijaa damu huwa wanawekewa cathetre ina drain damu taratibu, kama ni pulmonafy oedema.

Wanaita *hemothorax* - blood in the chest/lungs
Pnemothorax - air in the chest/lungs

Pulmonary oedema - fluid collection in the chest/lungs

Aina: Acute - ghafla; Chronic - ya muda mrefu (inayotokea taratibu)

Chanzo: Ugonjwa, madawa ama sumu, ajali, shambulio la kifua etc

Tiba: Acute ni medical emergency ambayo isipodhitiwa haraka uwezekano wa kupoteza maisha ni mkubwa. Mgonjwa anashindwa kupumua. Chronic - inatibiwa taratibu na madawa.

Angalizo: Bila kufahamu historia ya mgonjwa (kwa maana ya historia ya ugonjwa wenyewe) Ni vigumu kidogo kusema shida inayosababisha mauti. Wakati mwingine kinachosemwa kimeleta mauti ni secondary factor, primary ama precursor ya hizi secondary factors huwa zinaonekana baada ya review ya medical hx ama postmortem analysis ama vyote.

c.c Honey Money Penny
 
Kwani Stroke huwa inafanya nini ?
Ubongo ni sehemu ya mwili ambayo inafanya kazi 24/7, ubongo ndio unaamrisha mwili upumue, uamke usingizini ili ukojoe ect. Ubongo unahitaji oxygen 24/7 , oxygen hii hupelekwa kwa damu safi inayotoka kwenye mapafu.
Stroke huzuia supply ya damu kwenda kwenye ubongo iwe kwa mirija ya damu kiziba au kupasuka.
 
Wanaita *hemothorax* - blood in the chest/lungs
Pnemothorax - air in the chest/lungs

Pulmonary oedema - fluid collection in the chest/lungs

Aina: Acute - ghafla; Chronic - ya muda mrefu (inayotokea taratibu)

Chanzo: Ugonjwa, madawa ama sumu, ajali, shambulio la kifua etc

Tiba: Acute ni medical emergency ambayo isipodhitiwa haraka uwezekano wa kupoteza maisha ni mkubwa. Mgonjwa anashindwa kupumua. Chronic - inatibiwa taratibu na madawa.

Angalizo: Bila kufahamu historia ya mgonjwa (kwa maana ya historia ya ugonjwa wenyewe) Ni vigumu kidogo kusema shida inayosababisha mauti. Wakati mwingine kinachosemwa kimeleta mauti ni secondary factor, primary ama precursor ya hizi secondary factors huwa zinaonekana baada ya review ya medical hx ama postmortem analysis ama vyote.

c.c Honey Money Penny
Asante mkuu
 
Peacemaker ndiyo kibiriti chenyewe
Yaani natamani betri ya ka karimoti ketu ka azam ikufe ili tukatupe na karimoti kenyewe, maana haka karimoti siku hizi hata hakaeleweki ukitaka kupunguza sauti kenyewe kanajiongeza yaani sasa hivi nyumba nzima wanakachukia haka karimoti.
 
Ubongo ni sehemu ya mwili ambayo inafanya kazi 24/7, ubongo ndyo unaamrisha mwili upumue, uamke usingizini ili ukojoe ect. Ubongo unahitaji oxygen 24/7 , oxygen hii hupelekwa kwa damu safi inayotoka kwenye mapafu.
Stroke huzuia supply ya damu kwenda kwenye ubongo iwe kwa mirija ya damu kiziba au kupasuka.
Bibi kwani unaundugu na dokta Ndodi? Maana unavyotiririka kwa ufasaha utafikiri umetoka kumeza kitabu cha baioloji cha fom tu.
 
Umejibiwa na madaktari acheni negative assumptions. Tafuta clip ya msiba was Ruge mzee alisha anza kuchoka.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ndicho ulichokuwa unataka hiki bila shaka hii thread umeileta kumuingiza kingi daktari wetu [emoji23]
😃 Hanashida huyo ni mtani wangu tunajuana kwa vilemba
 
Angalia Michoro hiyo. Ujue Binaadamu sio kitu mbele ya MwenyeziMungu.
 
Attachments

  • images (20).jpeg
    images (20).jpeg
    25 KB · Views: 20
  • images (21).jpeg
    images (21).jpeg
    18.2 KB · Views: 18
  • CRT.jpg
    CRT.jpg
    29.5 KB · Views: 21
Issue yake ipo complicated kidogo...

Alafu kifo siku zote hakikosi sababu...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom