Kudondoka bafuni na mapafu kujaa damu je inawezekana, inaweza ikatokea na badae mtu kupoteza maisha

Kudondoka bafuni na mapafu kujaa damu je inawezekana, inaweza ikatokea na badae mtu kupoteza maisha

Miaka hii kuweka pacemaker kwenye kuta za moyo iliishapitwa na wakati. Wanaweka kwa nje ya mwili. Ili kurahisisha mambo mengine kuendelea bila shida.
Pacemaker al maarufu kama betri la moyo ni kifaa kinacho pandikizwa kwenye moyo kuusaidia mfumowa umeme wa moyo kuwa stable as u know under normal condition moyo hauchukui impulse (umeme)kutoka kwa mfumo wa kati wa fahamu (myogenic nature of the heart) kifaa hiki hupandikizwa kwa watu waliopata cardiac arrest mean moyo unashindwa kuamka kutokana na kukosa self electricity either kutokana na umri mkubwa au ,congenital heart defects ,
 
Back
Top Bottom