Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
stroke sio kichwani ndio damu zina vuja auKwani Stroke huwa inafanya nini ?
Mtu akidondoka bafuni kumpeleka hospitali mapafu yanajaa damu je inawezekana, ni kweli badae akienda hospitali anafariki. Hii hutokea au ni nadra sana.
Chris mapafu yakijaa damu huwa wanawekewa cathetre ina drain damu taratibu, kama ni pulmonary oedema.Mtu akidondoka bafuni kumpeleka hospitali mapafu yanajaa damu je inawezekana, ni kweli badae akienda hospitali anafariki. Hii hutokea au ni nadra sana.
Chris mapafu yakijaa damu huwa wanawekewa cathetre ina drain damu taratibu, kama ni pulmonafy oedema.
Kwa muda wa siku ngapi tukio hilo lilifanyika au walifanya yote kwa pamojaKudondoka bafuni ilikuwa mwanzo
Baadae wakamfanyia heart surgery
Hiyi surgery ndo imeleta shida zingine
Hiyo case iko complicated, mgonjwa alikuwa na surgery mpya ya peacemaker na akaanguka, kwahiyo damu iliingia kwenye respiratory organs si kuwa ilikuwa accumulated kwakuwa moyo ulishindwa kusukuma.Mbona kuna mtu aliripotiwa na mkewe kuwa mapafu yalijaa damu na alikuwa kwenye hospitali yenye hadhi ya juu ila imeshindikana na amepoteza maisha huenda hawakufanya kama unavyoeleza eti
Sielewi nisaidie surgery ya peacemaker hii huwa ikoje au inafanyiwa eneo lipi la mwiliHiyo case iko complicated, mgonjwa alikuwa na surgery mpya ya peacemaker na akaanguka, kwahiyo damu iliingia kwenye respiratory system si kuwa ilikuwa accumulated kwakuwa moyo ulishindwa kusukuma.
Peacemaker inawekwa kwenye moyo kama moyo unashindwa ku genarate electronic pulse za kutosha kusukuma damu.Sielewi nisaidie surgery ya peacemaker hii huwa ikoje au inafanyiwa eneo lipi la mwili
Hio ndio aliyowekewa mtukufu wetu pamoja na kaberti?Peacemaker inawekwa kwenye moyo kama moyo unashindwa ku genarate electronic pulse za kutosha kusukuma damu.
Mambo Dubay Machame yameibuka kivingine sasa
Ndiyo hivyo tena