Kudondosha risiti ya huduma ya choo kumeniponza

WEWE NI HUYU ULIYEBEBA KIROBA?
 
Lakini naona kama Moshi inapoteza usafi wake wa zamani, sijui ni wageni wengi au wenyeji nao wameanza 'uswahili'. Moshi ya sasa si kama ya zamani kwa usafi
Mara ya mwisho kuja moshi ni lini mkuu!!?? cz mimi nipo huku right now na tokea nimefika leo ni siku ya 30 na sijakumbana hata na ganda la vocha hapa mjini hata kwa bahati mbaya.
 
Pole sana. Ila utunzaji mazingira ni wetu sote. Sio hapo tu hata sehemu nyingine jizoweshe kutunza uchafu wako mpaka utakapokutana na sehemu ya kutupa uchafu.
 
Mara ya mwisho kuja moshi ni lini mkuu!!?? cz mimi nipo huku right now na tokea nimefika leo ni siku ya 30 na sijakumbana hata na ganda la vocha hapa mjini hata kwa bahati mbaya.
Nimetoka huko Tar 14 August ya mwaka huu
 
Ndio nyumbani mkuu
Sasa Mangi, unaamini Moshi ilivyokuwa miaka ya '90 na kabla yake ni sawa na ilivyo sasa? Sijasema pamekuwa pachafu ila usafi wa Moshi wa zamani si sawa na sasa kataa kubali mkuu
 
Sasa Mangi, unaamini Moshi ilivyokuwa miaka ya '90 na kabla yake ni sawa na ilivyo sasa? Sijasema pamekuwa pachafu ila usafi wa Moshi wa zamani si sawa na sasa kataa kubali mkuu
Hujajibu maswali yangu bali naona unaongea mambo ya kusadikika. Anyway mchana mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilinikuta Dodoma stend, ni ka vile nilikojoa kwa elfu 10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…