Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WEWE NI HUYU ULIYEBEBA KIROBA?Wakuu habari za humu jukwaani
Leo wakati nikiwa safarini naenda maeneo Fulani huko tarime nilipita stand ya musoma niliingia chooni kutoka nikalipia nikapewa list ya sh mia tatu hatua mbili nikaindondosha ile list [emoji24] [emoji24] [emoji24] tatizo sio kudondosha list tatizo nikashikwa kwa kuchafua mazingira ya stand [emoji35] [emoji35] [emoji35] hawa wakurya jomoni kidogo waniue bure ilibidi niwabembeleze nikawapa 30000 kwa hiyo nimeenda chooni kwa 30300[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]wale wadai picha, picha hiyo hapo![]()
the great
Mara ya mwisho kuja moshi ni lini mkuu!!?? cz mimi nipo huku right now na tokea nimefika leo ni siku ya 30 na sijakumbana hata na ganda la vocha hapa mjini hata kwa bahati mbaya.Lakini naona kama Moshi inapoteza usafi wake wa zamani, sijui ni wageni wengi au wenyeji nao wameanza 'uswahili'. Moshi ya sasa si kama ya zamani kwa usafi
Nimetoka huko Tar 14 August ya mwaka huuMara ya mwisho kuja moshi ni lini mkuu!!?? cz mimi nipo huku right now na tokea nimefika leo ni siku ya 30 na sijakumbana hata na ganda la vocha hapa mjini hata kwa bahati mbaya.
Ni maneno gani uliyayembelea moshi mjini ukayaona sio masafi!?Nimetoka huko Tar 14 August ya mwaka huu
Kabla ya hizo siku zako 30 ulizo Moshi uliwahi kutembelea huko kabla?Ni maneno gani uliyayembelea moshi mjini ukayaona sio masafi!?
Ndio nyumbani mkuuKabla ya hizo siku zako 30 ulizo Moshi uliwahi kutembelea huko kabla?
Sasa Mangi, unaamini Moshi ilivyokuwa miaka ya '90 na kabla yake ni sawa na ilivyo sasa? Sijasema pamekuwa pachafu ila usafi wa Moshi wa zamani si sawa na sasa kataa kubali mkuuNdio nyumbani mkuu
Hujajibu maswali yangu bali naona unaongea mambo ya kusadikika. Anyway mchana mwemaSasa Mangi, unaamini Moshi ilivyokuwa miaka ya '90 na kabla yake ni sawa na ilivyo sasa? Sijasema pamekuwa pachafu ila usafi wa Moshi wa zamani si sawa na sasa kataa kubali mkuu
Mchana mwema naweweHujajibu maswali yangu bali naona unaongea mambo ya kusadikika. Anyway mchana mwema
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Sio [emoji115] mkuu uliyodondosha...[emoji1] [emoji1] [emoji1]
-Silasc-