Kudorora mapokezi ya Rais Samia kutoka Marekani Tatizo limeanzia hapa...

Nimemkumbuka sana Rais Magufuli sijui kwa nini alitukimbia wakati tukimuhitaji sana ila tunamshukuru Mungu kwa ajili ya maisha yake na atabaki kuwa Rais bora kuwahi kutokea Tanzania
Alikukimbia wewe na sukuma gang wenzako ,mimi sina jambo jema la kumkumbuka na sitaki kabisa kumsikia.

By the way mna chama chenu cha Umoja Party nendeni huko muendelee kumkumbuka.
 
Chadema wote mnaongea lugha moja na tone moja mnaboa Sana,

Hamnaga Jambo jipya Yan katika andiko lako umekosa kusema lisu kupigwa risasi kupotea Ben saanane

Maandiko yenu ni kama copy and paste
 
Chadema wote mnaongea lugha moja na tone moja mnaboa Sana,

Hamnaga Jambo jipya Yan katika andiko lako umekosa kusema lisu kupigwa risasi kupotea Ben saanane

Maandiko yenu ni kama copy and paste
Hayo mengine ungeandika na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…